Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

Moshi mjini umeme unakatika karibia kila siku tena kwa zaidi ya masaa 12 na tuko kimya. Wanakata asubuhi saa moja wanarudisha usiku saa mbili

Juzi ndo walitia fora, walikata umeme kwa masaa 48 mfululizo (siku mbili)
 
Manispqa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine).

Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo??

Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
Poleni "thed weld" dwellers.
 
wakati wa jua walituambia umeme unakatika maji hayatoshi, wakati wa mvua wanatuambia miundombinu imeharibika!!!
 
Ila Makao Makuu hatukuzoea suala la kukatika kwa umeme, hii kitu inaboa sana..

Kwa mikoa ambayo umeme huwa unakatika mara kwa mara, Poleni sana aiseeeh'...!!
Kumbe uko Dom?
Yah jana toka saa 11 jioni ulikatika umerudi usiku mm nilishtuka nakaukuta.....
Ila Dom hatunaga huo mgao...aisee huku tunapeta
 
Kumbe uko Dom?
Yah jana toka saa 11 jioni ulikatika umerudi usiku mm nilishtuka nakaukuta.....
Ila Dom hatunaga huo mgao...aisee huku tunapeta
Haha,
Nipo Makao mtani wangu..!! Kumbe upo huku pia, hizi ni habari njema kabisa..!!
Nilikuwa naongea na simu bado kwenye 23:59 ndiyo waliurudisha..!!
 
Haha,
Nipo Makao mtani wangu..!! Kumbe upo huku pia, hizi ni habari njema kabisa..!!
Nilikuwa naongea na simu bado kwenye 23:59 ndiyo waliurudisha..!!
Niko huku mji wa Magufuli mtani...long tym sasa...makao makuu ya chama cha kijani na serekale...
Mm niliamka pia sikuangalia saa nimekuta tuu taa zimewaka nyumba nzima sijui ndo ziliwashwa ili ukirudi waone...
Uko poa lakini?
 
Back
Top Bottom