Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

Niko huku mji wa Magufuli mtani...long tym sasa...makao makuu ya chama cha kijani na serekale...
Mm niliamka pia sikuangalia saa nimekuta tuu taa zimewaka nyumba nzima sijui ndo ziliwashwa ili ukirudi waone...
Uko poa lakini?
Haha, kijani kama kijani..!!
Hongera kipenzi, nipo Ihumwa karibu na Jeshini,
Nipo salama kabisa dear, tunasonga mbele kama Injili..!!
 
Haha, kijani kama kijani..!!
Hongera kipenzi, nipo Ihumwa karibu na Jeshini,
Nipo salama kabisa dear, tunasonga mbele kama Injili..!!
Sawa dear....uwe na mchana mwema.
Kusonga mbele hakuna namna..
 
vipi mpaka sasa haujarudi? maana jana jioni nilipata taarifa kulikua na hitilafu kituo cha kupozea umeme zuzu
 
Back
Top Bottom