mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
mbeya mjini,Upo nje ya grid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbeya mjini,Upo nje ya grid
Poleni "thed weld" dwellers.Manispqa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine).
Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo??
Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
Rudi Dar weweembeya mjini,
Kesho zamu yenu.Ni huko tu
KiparangotoNipo kahama mgodini umeme upo!
Kumbe uko Dom?Ila Makao Makuu hatukuzoea suala la kukatika kwa umeme, hii kitu inaboa sana..
Kwa mikoa ambayo umeme huwa unakatika mara kwa mara, Poleni sana aiseeeh'...!!
Ni uongo banaaa..Mbeya nilikuwepo huko siku si nyingi umeme unakatika hovyo mnooombeya mjini,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeme haujakatika waligeuza mabetri ukawa unarudi ulipotoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huku chuo haukatikiNi uongo banaaa..Mbeya nilikuwepo huko siku si nyingi umeme unakatika hovyo mnooo
Labda maeneo na maeneohuku chuo haukatiki
Haha,Kumbe uko Dom?
Yah jana toka saa 11 jioni ulikatika umerudi usiku mm nilishtuka nakaukuta.....
Ila Dom hatunaga huo mgao...aisee huku tunapeta
Niko huku mji wa Magufuli mtani...long tym sasa...makao makuu ya chama cha kijani na serekale...Haha,
Nipo Makao mtani wangu..!! Kumbe upo huku pia, hizi ni habari njema kabisa..!!
Nilikuwa naongea na simu bado kwenye 23:59 ndiyo waliurudisha..!!