Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 7,982 Reaction score 27,272 Dec 12, 2023 #41 Kalpana said: Niko huku mji wa Magufuli mtani...long tym sasa...makao makuu ya chama cha kijani na serekale... Mm niliamka pia sikuangalia saa nimekuta tuu taa zimewaka nyumba nzima sijui ndo ziliwashwa ili ukirudi waone... Uko poa lakini? Click to expand... Haha, kijani kama kijani..!! Hongera kipenzi, nipo Ihumwa karibu na Jeshini, Nipo salama kabisa dear, tunasonga mbele kama Injili..!!
Kalpana said: Niko huku mji wa Magufuli mtani...long tym sasa...makao makuu ya chama cha kijani na serekale... Mm niliamka pia sikuangalia saa nimekuta tuu taa zimewaka nyumba nzima sijui ndo ziliwashwa ili ukirudi waone... Uko poa lakini? Click to expand... Haha, kijani kama kijani..!! Hongera kipenzi, nipo Ihumwa karibu na Jeshini, Nipo salama kabisa dear, tunasonga mbele kama Injili..!!
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Dec 12, 2023 #42 Tanesco wanakuambia hakuna ngao wa umeme
chendelela JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 1,145 Reaction score 1,008 Dec 12, 2023 #43 Kalpana said: Ni uongo banaaa..Mbeya nilikuwepo huko siku si nyingi umeme unakatika hovyo mnooo Click to expand... Liongo hilo sehemu umeme hausumbui n Rukwa maana wao wanatumia umeme wa Zambia.
Kalpana said: Ni uongo banaaa..Mbeya nilikuwepo huko siku si nyingi umeme unakatika hovyo mnooo Click to expand... Liongo hilo sehemu umeme hausumbui n Rukwa maana wao wanatumia umeme wa Zambia.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Dec 12, 2023 #44 Carleen said: Haha, kijani kama kijani..!! Hongera kipenzi, nipo Ihumwa karibu na Jeshini, Nipo salama kabisa dear, tunasonga mbele kama Injili..!! Click to expand... Sawa dear....uwe na mchana mwema. Kusonga mbele hakuna namna..
Carleen said: Haha, kijani kama kijani..!! Hongera kipenzi, nipo Ihumwa karibu na Jeshini, Nipo salama kabisa dear, tunasonga mbele kama Injili..!! Click to expand... Sawa dear....uwe na mchana mwema. Kusonga mbele hakuna namna..
Benjamin10 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2016 Posts 409 Reaction score 598 Dec 12, 2023 #45 vipi mpaka sasa haujarudi? maana jana jioni nilipata taarifa kulikua na hitilafu kituo cha kupozea umeme zuzu
vipi mpaka sasa haujarudi? maana jana jioni nilipata taarifa kulikua na hitilafu kituo cha kupozea umeme zuzu