Umeme umekatika Tanzania nzima. Mechi ya Yanga na Geita Gold tutaitazama vipi?

Umeme umekatika Tanzania nzima. Mechi ya Yanga na Geita Gold tutaitazama vipi?

Wewe ulizalowa kwa umeme!

Zipo njia nyingi za kupata umeme kama Generator, sola, nk.
 
Uto bwana, kwa hiyo ukikatika ulipo ndio umekatika katika maeneo mengine.
Sio mwanaYanga huyo, ni mfuasi wa mwendazake kaleta siasa zake chafu ili kumfanya Samia hafai
Anajipptezea muda tu, kwa katiba hii Samia ni rais hadi 2030 na atampa kijiti Makamba na hakuna anachoweza kufanya
 
Umeme haupo
 
Mabanda umiza yatajaa sana.

Kwa nini umeme unakatwa siku kama ya leo ya Jumamosi

Hivi nani mwenye dhamana na umeme wa Tanesco?
16670475376848827705113840044562.jpg

Umekatika kwako tu,
Mbona wengine fresh tu
 
Umeme haupo
Uwepo ama usiwepo mi sijali, taifa likishakua na viongozi ambao hawaogopi wananchi kwa sababu wana guarantee ya kubaki madarakani forever kwa kutumia jeshi mambo kama haya lazima yawepo, hii ni legacy ya Magufuli
 
Huku nilipo umeme upo na ni TZ hii hii.
 
Back
Top Bottom