Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
- Thread starter
- #21
Huoni aibu kukalia viti vya watu bure?Sijazungumzia kunywa beer tupo tusio kunywa hata maji tunatazama tu mpira na ukiisha tunasepa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni aibu kukalia viti vya watu bure?Sijazungumzia kunywa beer tupo tusio kunywa hata maji tunatazama tu mpira na ukiisha tunasepa,
Afya ya akili inakusumbua.We pimbi mkubwa
Sio mwanaYanga huyo, ni mfuasi wa mwendazake kaleta siasa zake chafu ili kumfanya Samia hafaiUto bwana, kwa hiyo ukikatika ulipo ndio umekatika katika maeneo mengine.
Tupo wengi, siishi kwa kuangalia macho ya watu. Naangalia bila taabu yoyote na sio mala ya kwanzaHuoni aibu kukalia viti vya watu bure?
Umeme haupoSio mwanaYanga huyo, ni mfuasi wa mwendazake kaleta siasa zake chafu ili kumfanya Samia hafai
Anajipptezea muda tu, kwa katiba hii Samia ni rais hadi 2030 na atampa kijiti Makamba na hakuna anachoweza kufanya
Mabanda umiza yatajaa sana.
Kwa nini umeme unakatwa siku kama ya leo ya Jumamosi
Hivi nani mwenye dhamana na umeme wa Tanesco?
🤣🤣🤣🤣🤣Nasikia ety wanamwagilia mahekari na mahekari ya mahindi yao kujaa bwawa tusahau😂Hili kombe la Dunia labda mabwawa yatakuwa yameshajaa.
Uwepo ama usiwepo mi sijali, taifa likishakua na viongozi ambao hawaogopi wananchi kwa sababu wana guarantee ya kubaki madarakani forever kwa kutumia jeshi mambo kama haya lazima yawepo, hii ni legacy ya MagufuliUmeme haupo
Acha upuuzi
Sina salio
Mpigie simu mbunge wako umuulize.
Sio kweliHuku nilipo umeme upo na ni TZ hii hii.
😂 Sawa sawaSio kweli
Mpuuzi mwenyewe Mqumer marmer yaquorAcha upuuzi
Kweli?Mpuuzi mwenyewe Mqumer marmer yaquor