Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho.
Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi.