Umeme umekatika tena wakati Tundu Lissu akiongea wakati wa kufunga Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA

Umeme umekatika tena wakati Tundu Lissu akiongea wakati wa kufunga Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Labda ni ishara kuwa TL ni mkata umeme
Usikute akawa anakata network za wadau tukapata jiwe kweli kweli mwingine
 
Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho.

Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi.
Vituko vya chama chawala bado tu havijaisha!?😂
 
Isiwe sababu
Umeme kukatika ni kawaida nchi masikini
Ameishachaguliwa sasa ukatike ili iweje alengwe na manati ama 😄
 
Back
Top Bottom