Watanzania ni wagumu sana kufuatilia data hata zile ambazo ziko wazi. Kuna Watanzania wengi wanaamini umeme wetu mwingi ni wa maji! hii sio kweli .
Ukienda kwenye mtandao wa Tanesco umeme wa maji ni 36.64% tu. Hivyo hata maji yakipungua kwa 50% nzima umeme kwa ujumla wake unatakiwa kupungua kwa 18.32% tu.
Si kweli kwamba maji yamepungua kwa 50% hivyo upungufu wa umeme hautakiwi uzidi 15% kwa Tanzania nzima!.
Lakini uzalishaji wa umeme wa gas ni rahisi kuongeza kwasababu gas tunayo ya kutosha hivyo tusishangae waziri analalamikia matengenezo ya mitambo maana kisingizio cha maji hakina mshiko.
Tuweni makini sana wizi mkubwa wa rushwa ni kwenye umeme na mafuta na wanufaikaji watapigana sana kuendelea kupata pesa kwa migongo ya masikini.
Tanesco wanasema sasa eti upungufu wa maji umesababisha upungufu wa umeme kwa 21% wakiwa na maana umeme wa maji sasa ni 15.64% tu!.
Hii sio kweli maana ili hili litokee ina maana maji yamepungua kwa 84.36% kitu ambacho sio kweli.
Ukweli ni huu zoezi la kupeleka umeme vijijini limeenda kwa kasi kuliko uongezeko la uzalishaji wa umeme hiyo ndiyo maana umeme vijijini sasa watatafuta njia ya kupunguza kasi ili usubiri umeme wa Bwawa la mwalimu Nyerere.
Sababu nyingine ni hapahapo kila wanavyopeleka umeme mbali na vijijini Tanesco inapoteza 16% ya umeme kwenye usafirishaji yaani umeme ukipelekwa 100% unafika 84% tu!.
Hivyo serikali ikiendelea kusambaza umeme kwa sasa ni kupunguza umeme kwa ujumla wake hivyo hatutasikia tena kelele za ucheleweshwaji wa umeme kwasababu hii.
Lakini vilevile serikali inachukulia umeme kama vile ni taa peke yake lakini maisha ya watu yakiwa bora wataanza kuweka AC na kupikia na hii nayo itaongeza matumizi ya umeme. Kwa ujumla umeme wa tanzania ni mdogo sana sana.
Umeme wa nchi nzima ni mdogo kuliko umeme wa miji mingine Duniani sio nchi miji!. Miradi mingi ya umeme iliyo simama as per Zitto imechangia janja hili.
Kibaya zaidi ni kwamba kuna uwezekano wa mradi wa Mwalimu Nyerere kuchelewa zaidi wa mwaka mzima! kwa visingizio tofauti. Sasa wanasema crane imechelewa hiki ni kifaa ni kwanini hawajaweka order mapema?
Generation

- Thermal Power Plants and Diesel 63.36%
- Hydro Plants contributes 36.64%.