Wakati mgao ukiendelea, tujikumbushe Moja ya KAZI murua kabisa ilofanywa na waziri Muhongo.
Hili ni suala la zero tarrif, umeme nafuu Kwa watu wa kipato cha chini. Kama unatumia umeme chini ya 75 units Kwa mwezi,
Andika barua, ipeleke ofisi ya Tanesco wilaya uliyopo, baada ya mwezi kupita utawezeshwa huduma hii ya Kupata units Hadi 72units Kwa buku tisa tu za kitanzania yaani Tshs 9,000/=
Angalizo: Mwombaji wa huduma hii awe mwenye nyumba, Si mpangaji!!
Tuchangamkie fursa.🙏