Asante Kwa taarifa,Ilikuwa 75unit
Kiparangoto amepewa pazuri zaidi kwa maandalizi ya keshoBaada ya Kipara kufurushwa Nishati , moyo wangu umechangamka nimerudi kuwaza mawazo chanya tena!!
Kesho yake njema labda atubu na kuokoka. Tofauti na hapo,Kiparangoto amepewa pazuri zaidi kwa maandalizi ya kesho
Ok kama 1000 ni sawa na units 8 Kwa zero tarrif, buku tisa, 9,000 utapata units 72,Asante Kwa taarifa,
Kama upo ndani ya huduma hiyo, leta taarifa sahihi Ili kusaidia wasojua Kwa Upendo.
Hizo unit 75 ni Bei gn utalipa?
Barikiwa nawe,Inapendeza ubarikiwe sana mkuu
Siyo ndani mwezi husika,bali zisiishe kabla ya mwezi husika kuisha.Ok kama 1000 ni sawa na units 8 Kwa zero tarrif, buku tisa, 9,000 utapata units 72,
Ila shart uzitumie ziishe ndani ya mwezi huo na usizidishe.
Zero tarrif.Ni tariff zero ama 4
Kujichosha na nn?Mnajichosha tu
Uyu jamaa katuharibia sana sisi ma skiny!Kiparangoto amepewa pazuri zaidi kwa maandalizi ya kesho
Muhongo alikuwa visionery japokuwa alikuwa na makandokando yakeWakati mgao ukiendelea, tujikumbushe Moja ya KAZI murua kabisa ilofanywa na waziri Muhongo.
Hili ni suala la zero tarrif, umeme nafuu Kwa watu wa kipato cha chini. Kama unatumia umeme chini ya 75 units Kwa mwezi,
Andika barua, ipeleke ofisi ya Tanesco wilaya uliyopo, baada ya mwezi kupita utawezeshwa huduma hii ya Kupata units Hadi 72units Kwa buku tisa tu za kitanzania yaani Tshs 9,000/=
Angalizo: Mwombaji wa huduma hii awe mwenye nyumba, Si mpangaji!!
Tuchangamkie fursa.🙏
Ndo maana ya zero tarrif.Muhongo alikuwa visionery japokuwa alikuwa na makandokando yake
Ila umeme huo hivi sasa umekuwa wa kitumwa sana
- Unapewa <70 units
- Units hizo zikiisha kabla ya siku 30 usinunue zingine subiri mpaka zitimie hizo siku 30 ndipo ununue mwingine
- Ukiwa na taa zenye wattage kubwa za husomea kama tube lights umeumia
Hapo nilipo bold mkuu si kweli, huwa zikibaki na ukanunua zingine pindi utakapoweka zinajumuisha.Ok kama 1000 ni sawa na units 8 Kwa zero tarrif, buku tisa, 9,000 utapata units 72,
Ila shart uzitumie ziishe ndani ya mwezi huo na usizidishe.
Walozi kikawaida Huwa hawana chembe ya huruma,Uyu jamaa katuharibia sana sisi ma skiny!
Sifa za skiny ni kuwa mtu mwenye hekima na busara!
Ona sasa, eti kiparangoto!
Si dharau hii!
Kumbe mpo wengi wanufaika na hamuwastui wengine wasojua!!Hapo nilipo bold mkuu si kweli, huwa zikibaki na ukanunua zingine pindi utakapoweka zinajumuisha.