Umeme wakatika wakati mchezo kati ya Kagera sugar na Tabora utd ukiendelea!

Umeme wakatika wakati mchezo kati ya Kagera sugar na Tabora utd ukiendelea!

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika!

Je, Viwanja hivi havina standby generator? Kama hakuna kulikuwa na ulazIma gani kucheza usiku?
 
Back
Top Bottom