Umemmiss member gani wa JamiiForums?

Umemmiss member gani wa JamiiForums?

Kweli kabisa dada na ndio nilimjuliaga kule. Na Ichana naye MMU na Chitchat aisee. Sitaki kuwakumbuka hawa wahenga maana nahisi kukosa vingi.

Ila dada na wewe wa kitambo.
Hahahaaaa!! Mie sio wa kitambo sana bwana.
Farkhina alinisaidiaga sana kwenye mapishi fulani fulani yalokuwa yananipiga chenga, abarikiwe tu popote alipo.
 
Hahahaaaa!! Mie sio wa kitambo sana bwana.
Farkhina alinisaidiaga sana kwenye mapishi fulani fulani yalokuwa yananipiga chenga, abarikiwe tu popote alipo.
Hahaaaaa. Haya bwana dada.

Kabisa abarikiwe tu maana sio kwa kutufanya tujue mapishi ya aina mbalimbali.
 
Back
Top Bottom