amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Nipo mpenzi sema ubusy....naingia bila kusign in..ila kuanzia leo kama kawa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mpenzi sema ubusy....naingia bila kusign in..ila kuanzia leo kama kawa..
ICHANA
utafiti
Tized
Mr Rocky
Mrs Leo
charming lady
Mamaa Facebook
nyumba kubwa
aisee namiss madini yenu mpaka basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijawahi kukutokea? Yaani ghafla unakutana na mtu uliyekuwa umemmisi unashindwa umhug, umtwange ngumi then unajikuta umempa tu mkonoWhy speechless asee!!
Funguka
Haijawahi kukutokea? Yaani ghafla unakutana na mtu uliyekuwa umemmisi unashindwa umhug, umtwange ngumi then unajikuta umempa tu mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] ulikuwa unajimisha makusudi eeh?Nitwange tu ngumi mamaa, moyo usukume damu vizuri 🙂
Kweli kabisa dada na ndio nilimjuliaga kule. Na Ichana naye MMU na Chitchat aisee. Sitaki kuwakumbuka hawa wahenga maana nahisi kukosa vingi.farkhina jamani nimemmiss sana upande ule wa maakuli, yaani kafanya jukwaa lile limepoozaaaaa!!!
Hahahaaaa!! Mie sio wa kitambo sana bwana.Kweli kabisa dada na ndio nilimjuliaga kule. Na Ichana naye MMU na Chitchat aisee. Sitaki kuwakumbuka hawa wahenga maana nahisi kukosa vingi.
Ila dada na wewe wa kitambo.
Hahaaaaa. Haya bwana dada.Hahahaaaa!! Mie sio wa kitambo sana bwana.
Farkhina alinisaidiaga sana kwenye mapishi fulani fulani yalokuwa yananipiga chenga, abarikiwe tu popote alipo.
Aisee au na wewe ni mtu usiyejulikana? Tufanye hivyo aiseeHapana, nilikua pandikizi mahali fulani, intanet ilikua ya shida, ila nimerejea sasa.
Arooo! Tuonane buana, tupunguze hii kumisiana.
Hahaa kama unajulikana sawa maana hawa watu wasiojulikana sio wazuri kabisaHahahahahaa, mie najulikana Tz na nje ya mipaka. Niwekee google map inbobo, nikucheki baadae
Hahaa kama unajulikana sawa maana hawa watu wasiojulikana sio wazuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app