Umemtongoza kabla ya game anakuambia anaomba pesa akachome sindano za UTI, utachukua uamuzi gani?

Umemtongoza kabla ya game anakuambia anaomba pesa akachome sindano za UTI, utachukua uamuzi gani?

Wewe mpe pesa akachome sindano hizo apone ..kupata UTI sio lazima kuwa malaya …wala sio lazima atumie njia hiyo akiwa anataka pesa kwako…
 
Bora huyo kasema kweli ana UTI kuliko vidudu mtu vingine vinakuacha uvagae tu mi UTI yao.

Kama uwezo upo unampa tu maana mwisho wa siku kama sio pesa ya sindano utatoleshwa pesa ya nywele, gas, voucher au hata kodi ikizingatiwa kitanzania mwanzo wa mahusiano ya mapenzi ndio mwanzo wa kila tatizo kwa mwanamke.

Kibongo bongo demu kutongozwa ni kama kupata kazi mpya. Anakuwa na matarajio ya dhiki zake zote kuisha kupitia huyo aliemtongoza.
Tumeshtuka mapema sahiv Kupiga na kusepa ama uoe Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nliwahinkutana na demu jamaa kampeleka polisi akidaunkamuibia laki 1 na laptop ya laki 4 .demu nkamla hakutaka hela nkamwita tuongee asee nlilipa laki 4 na nlikula sana yule mtoto bahati mbaya mm siwez oa muislamu asietaka kuwa mkristo nkaamua nimruhusu aolewe .na sina hatannambari yake
 
Yamemkuta jamaa huko mtaani.

Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo.

Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada?

Au kamtajia UTI kwa sababu zingine tu?
Mmmm dawa ni kuacha zinaa...tafuta mmj utulie nae....khaa...uti sugu nomaaa
 
Wanawake huwezi kuwakwepa kwenye kutoa pesa.Wana mbinu zaidi ya milioni ya kutoa upepo.wewe kama kuna Jambo unalihitaji kwake kubali Tu kutoka upepo
Ukihoji Sana hutakaa upate mwanamke Kwa Tanzania ya Leo.
 
Back
Top Bottom