Umeniharibia maisha! ...what?

Umeniharibia maisha! ...what?

Duh mbona mkasa! hapo hata ukikumbushia nae ni wewe mwenyewe kwa hamu zako hakuna wa kukuharibia maisha hapo, sasa hivi una akili timamu hakuna kutumiwa kijinga, wewe unamtumia na yeye anakutumia ipasavo "mnatumiana" utu uzima dawa ati....kwani bado yuko single?

Huyu siwezi kukumbushia kabisa naamini nitaharibu kila kitu asee, unajua mtu akiwa na uchu anafanya chochote kile mradi aweze kutimiza kiu yake? Siwezi kumruhusu anitumie aseee imekula kwake nitamtumia mpaka akistuka aende zake tu.

Huyu ana mke na watoto msururu tu nikiwataja atanishtukia kama anaingiaga humu. Sasa nitakachokua nafanya si kama naiba tu? halafu naiba ambacho kiliwahi kuwa changu hapana kwa kweli, kama ananitamani si wapo wengine wananitamani pia? Ye atatumika tu inawezekana ninachofanya sio kitu kizuri lakini yeye si atulie na mke wake huko na aniache mimi niendelee na maisha yangu.
 
Haahahaha mbu bana eti vingunge lol. Mimi naweza kusema huyu wangu ni mharibifu kwa kweli au sijui anaingiaga jf huyu mwe! huwezi amini jana natoka tu ofcn kanipigia simu kama kawaida yake anakumbushia eti lini tutakumbushia, hivi huyu ni mzima kweli wajameni? nikisema ni mharibifu nakosea? na ameniambia nitafanya kila njia mpaka iwe haiwezekani wewe tu ndio uwe mbishi wengine wote nikiwafata hawawezi nikatalia kabisa.

Niliumia kwa kweli pamoja na yote aliyonifanyia je ningekufa kweli kipindi kile? anaanzaje kunitamkia hivyo tena? Basi kama kawaida yangu huwa sina muda wa kubishana nae nibishane nae kwa maneno napata faida gani? sana sana napoteza tu sauti yangu. Nikajichekesha na kumwambia unajua nimeishiwa nitumie basi kiasi fulani, akaniuliza we pesa zako unapelekaga wapi kila siku unaishiwa? nikamwambia unanitumia hunitumii? kama hutaki basi na usinipigie tena simu habari za mtoto kawaulize walimu wake huko. Baada ya dk 5 ikaingia msg toka m-pesa B97..... imethibitishwa umepokea kiasi fulani kutoka kwa ..... Yaani anafanya yote hayo mpaka kutumia pesa zake ili tu anipate, wadada nadhani mnaelewa mbaba kama hajaonja basi atafanya kila kitu mradi tu uvutike. sa ndio anavyonifanyia sasa huyu mbaba nimekuwa ni kipya gani sasa? Nadhani kimoyo moyo anasema utaingia tu kwenye line

So kila siku nagundua wanawake tunafanywa wajinga sana kwa kweli yaani mtu anakaa huko akikumbuka huyo anaomba. Na nimegundua wanawake wengi huwa hawapingi na ndio maana wamezoea na kuendeleza mchezo wao wa kutufanya vyombo vya starehe.

Wadada tuwe na misimamo ili tuheshimike, tunalalama tu tunatendwa tunatendwa kumbe wenyewe ndio tunawaendekeza hawa watu. Huyu wangu namwonea huruma kwani hajui aliko lala mi ndio nimeamkia huko huko.

Naaamini kuna wadogo zangu wengi tu humu, jifunzeni kupitia mifano ya sisi dada zenu
Eti nini?
 
Kama uko poa....mimi poa sana....
Yaani lijamaa lilisigina roho yako hivihivi......ila usilichune kama afanyavyo Maty....kuna siku utalipa....

Ananichosha bana mtu saa nyingine umekaa na yako mara simu sasa ma fulani vipi ile makitu? Mi simchuni ila kwa sababu ananikera na ningeweza hata kumtukana, lakini sipendi ugomvi na yeye kwani hata iweje siwezi badilisha ukweli kwamba ye ndio baba wa huyu malaika wangu nimpendae kuliko kitu kingine chochote.

Sasa yale machungu niyapunguzaje? labda unipe mbinu ya kupunguza haya makovu anayoyatonesha kila siku. Mimi naamini kuna kusamehe lakini hakuna kusahau sa anavyoniambiaga huwa ananikumbusha yale machungu aliyoniachia.
 
Huyu siwezi kukumbushia kabisa naamini nitaharibu kila kitu asee, unajua mtu akiwa na uchu anafanya chochote kile mradi aweze kutimiza kiu yake? Siwezi kumruhusu anitumie aseee imekula kwake nitamtumia mpaka akistuka aende zake tu.

Huyu ana mke na watoto msururu tu nikiwataja atanishtukia kama anaingiaga humu. Sasa nitakachokua nafanya si kama naiba tu? halafu naiba ambacho kiliwahi kuwa changu hapana kwa kweli, kama ananitamani si wapo wengine wananitamani pia? Ye atatumika tu inawezekana ninachofanya sio kitu kizuri lakini yeye si atulie na mke wake huko na aniache mimi niendelee na maisha yangu.
Halafu watu wa aina hii wanapenda wakuharibie kila kitu, hata mchuchu uliyenae akasirike au akuache ndio atatulia... poa lakini cha muhimu mwanao usimnyime haki ya kuwa na baba yake tu
 
MJ1,Maty, Nyamayao.....mmepita mapito ya dunia,na mna story hata za kuwapa wajukuu wenu, wengine hata hatukupata hiyo nafasi ya kupitia hapa na pale ili kuelewa maisha yanaendaje, unakuja pata matatizo ndani ya ndoa hata hujui broken heart ni nini, mpaka unaamua kufanya maamuzi unayoona wewe ndio yanafaa, yote hii ni kukosa experience ya mahusiano mbalimbali.....Kwa kweli sijilaumu kwa kuwahi kuolewa ila nawish ningepitapita ili nielewe inakuwaje???? yaaani mtu anakuachaje??? hii haijanikuta maishani Kizuri zaidi mmepitia na sasa mnaendelea na maisha yenu as if nothing happened nawapa hongera sana na wengi watakaopitia humu watajifunza mengi kwenye posts zenu

mie niliwahi pia kuolewa ila nilianza matuc mapema ndio mana nikapitia hayo yote, nilivyoachwa nilipata uoga kabisa wa kupenda tena, nilikuwa najua wote ni wale wale, yaani kile kipindi kilinitesa sana, nilikuwa nakunywa pombe za aina zote kasoro gongo, college nilikuwa nakuona kama segerea, ilinichukua muda sana kupenda, na mr alifanya kazi kubwa sana kunirudisha kwenye hali ya kimapenzi, ilichukua muda kumuamini lakini ikawa na ikawa na maisha yakaendelea, halafu mwanaume wa hivi anakuja na hadithi zake za adunuwac kwamba alipitiwa nimpe nafac anielezee cjui nn na nn, yaani nazidigi kumchukia kwa jinc anavyonisumbua....Gaga kiujumla maisha matamu ukikubaliana na matokeo.
 
Ananichosha bana mtu saa nyingine umekaa na yako mara simu sasa ma fulani vipi ile makitu? Mi simchuni ila kwa sababu ananikera na ningeweza hata kumtukana, lakini sipendi ugomvi na yeye kwani hata iweje siwezi badilisha ukweli kwamba ye ndio baba wa huyu malaika wangu nimpendae kuliko kitu kingine chochote.
Sasa yale machungu niyapunguzaje? labda unipe mbinu ya kupunguza haya makovu anayoyatonesha kila siku. Mimi naamini kuna kusamehe lakini hakuna kusahau sa anavyoniambiaga huwa ananikumbusha yale machungu aliyoniachia.
Leo Mamito naona umeamua "kufunguka" asubuhi asubuhi, siku itaisha kweli?
 
mie niliwahi pia kuolewa ila nilianza matuc mapema ndio mana nikapitia hayo yote, nilivyoachwa nilipata uoga kabisa wa kupenda tena, nilikuwa najua wote ni wale wale, yaani kile kipindi kilinitesa sana, nilikuwa nakunywa pombe za aina zote kasoro gongo, college nilikuwa nakuona kama segerea, ilinichukua muda sana kupenda, na mr alifanya kazi kubwa sana kunirudisha kwenye hali ya kimapenzi, ilichukua muda kumuamini lakini ikawa na ikawa na maisha yakaendelea, halafu mwanaume wa hivi anakuja na hadithi zake za adunuwac kwamba alipitiwa nimpe nafac anielezee cjui nn na nn, yaani nazidigi kumchukia kwa jinc anavyonisumbua....Gaga kiujumla maisha matamu ukikubaliana na matokeo.

Mimi nikupendeaga hizi ccccc zako....hivi invizibo kapeleka wapi kale kasmiley ka malovee?
 
MJ1,Maty, Nyamayao.....mmepita mapito ya dunia,na mna story hata za kuwapa wajukuu wenu, wengine hata hatukupata hiyo nafasi ya kupitia hapa na pale ili kuelewa maisha yanaendaje, unakuja pata matatizo ndani ya ndoa hata hujui broken heart ni nini, mpaka unaamua kufanya maamuzi unayoona wewe ndio yanafaa, yote hii ni kukosa experience ya mahusiano mbalimbali.....Kwa kweli sijilaumu kwa kuwahi kuolewa ila nawish ningepitapita ili nielewe inakuwaje???? yaaani mtu anakuachaje??? hii haijanikuta maishani Kizuri zaidi mmepitia na sasa mnaendelea na maisha yenu as if nothing happened nawapa hongera sana na wengi watakaopitia humu watajifunza mengi kwenye posts zenu
Kumbe?.......... Nimekwisha!
 
Leo Mamito naona umeamua "kufunguka" asubuhi asubuhi, siku itaisha kweli?

Hahahaaa....ndo maana nikasita kuweka maoni hommie.....
Ulanzi wa baridi kwenye baridi na huyu mnyama wangu utaua hommie...
 
Back
Top Bottom