Umeniharibia maisha! ...what?

Umeniharibia maisha! ...what?

Ananichosha bana mtu saa nyingine umekaa na yako mara simu sasa ma fulani vipi ile makitu? Mi simchuni ila kwa sababu ananikera na ningeweza hata kumtukana, lakini sipendi ugomvi na yeye kwani hata iweje siwezi badilisha ukweli kwamba ye ndio baba wa huyu malaika wangu nimpendae kuliko kitu kingine chochote.

Sasa yale machungu niyapunguzaje? labda unipe mbinu ya kupunguza haya makovu anayoyatonesha kila siku. Mimi naamini kuna kusamehe lakini hakuna kusahau sa anavyoniambiaga huwa ananikumbusha yale machungu aliyoniachia.

Umesahau ile kitu 'no free lunch?'.....Haya weee!
 
Leo Mamito naona umeamua "kufunguka" asubuhi asubuhi, siku itaisha kweli?

Itaisha kwa sababu lile bomu nililombomu jana naenda kula lunch kuku wa kienyeji mzimaaaa, nikonge roho pambaf zake
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Itaisha kwa sababu lile bomu nililombomu jana naenda kula lunch kuku wa kienyeji mzimaaaa, nikonge roho pambaf zake
muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio bi dada!
 
Halafu watu wa aina hii wanapenda wakuharibie kila kitu, hata mchuchu uliyenae akasirike au akuache ndio atatulia... poa lakini cha muhimu mwanao usimnyime haki ya kuwa na baba yake tu

kama ulikuwepo mpenzi, umekaa na wako mara simu grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr mbona ameshaharibu vya kutosha tu, maana mtu akiona hivyo haamini kama nyinyi hamkumbushiagi
 
Hahahha Gaga bana...........hapa mioyo imefunguka mpenzi.......... karibu jifunze.
Usiombee kupitia huko kwani experience yake kwa muda ule si nzuri hata kidogo mwe mie ctamani kujikumbukisha kipindi kile maana nlikoma kama sindano halafu anokukondesha anaungana na ulimwengu kukushangaa kwa nini wakonda!! ah acheni kabisa .................... halafu wengine wamejaaliwa sura za wizi (upooooleee, so innocent) kiasi kwamba tulikuwa twaonekana sie ndo mabedui.......mpaka ukweli ujulikane!! umechoka hadi unywele

wacha kabisa, sasa wangu alikuwa ni mtu wa makampani, hamuwezi kukaa wawili hivi labda iwe kwake but kama mnatoka kuburudika lazima atafute frnds zake mlianzishe, bac frnds wanakuja na ma gfnds zao, tunaanza kufahamiana hapo, cku nilipoachwa wadada mackini wananical kwa huruma kweli kuniuliza nn kimetokea jamani mbona tunackia hivi na hivi na tulivyokuwa tunaona manapendana? ilikuwa kama nikimic kwenye kampani wadada wanamuuliza nyamayao yupo wapi mbona leo upo mwenyewe jibu alilokuwa anawapa ni kwamba "nimetemana nae"...akiulizwa y? "bac tu nimeamua iwe hivyo"....baada ya cku chache mmoja wa wadada akaniambia fulani ameshapata gfnd mwingine ndio cku hizi tunakuwa nae, nilikaaga chuo likizo yote ya miezi miwili pombe na mie, mie na pombe, halafu sasa hivi anajifanya nyooo nyooo.
 
muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio bi dada!

I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kweli kabisa hommie, hasa ukizingatia Mungu si Athumani.
Na ukizingatia kua sisi hatutaki kukiona kile alichokiona "Mtema Kuni" Si unamuona bibie Maty hapo juu anavyofunguka?
Sijui ndo keshaharibiwa maisha?
 
Mkienda mtakiona cha mtema kuni....(sijawahi ona binadamu anatema kuni, pamoja na umri wangu wote huu)
Subiri siku ya Iddi, ndo utafaidi kuona mtu anatema kuni
 
Nanyamaza asee....naheshimu sredi ya umbu......

Hahahhaha wapi kibatani cha like lol, yaani nikimkubalia nakua na faida mbili kwanza nimepunguza maana ukikaa sana zinajaa, pili ndio hivyo tena.

Habaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaarrrrr yake. Utu uzima raha sana asee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Huyu siwezi kukumbushia kabisa naamini nitaharibu kila kitu asee, unajua mtu akiwa na uchu anafanya chochote kile mradi aweze kutimiza kiu yake? Siwezi kumruhusu anitumie aseee imekula kwake nitamtumia mpaka akistuka aende zake tu.

Huyu ana mke na watoto msururu tu nikiwataja atanishtukia kama anaingiaga humu. Sasa nitakachokua nafanya si kama naiba tu? halafu naiba ambacho kiliwahi kuwa changu hapana kwa kweli, kama ananitamani si wapo wengine wananitamani pia? Ye atatumika tu inawezekana ninachofanya sio kitu kizuri lakini yeye si atulie na mke wake huko na aniache mimi niendelee na maisha yangu.

unafanya kitu kizuri sana sana, c mzazi mwenzio? nani ale hizo pesa, hebu kula pesa huko.
 
Na ukizingatia kua sisi hatutaki kukiona kile alichokiona "Mtema Kuni" Si unamuona bibie Maty hapo juu anavyofunguka?
Sijui ndo keshaharibiwa maisha?

Niharibiwe mara ngapi, halafu bado anataka kukazia uharibifu wake yaani aongeze tena na tena na tena
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
wacha kabisa, sasa wangu alikuwa ni mtu wa makampani, hamuwezi kukaa wawili hivi labda iwe kwake but kama mnatoka kuburudika lazima atafute frnds zake mlianzishe, bac frnds wanakuja na ma gfnds zao, tunaanza kufahamiana hapo, cku nilipoachwa wadada mackini wananical kwa huruma kweli kuniuliza nn kimetokea jamani mbona tunackia hivi na hivi na tulivyokuwa tunaona manapendana? ilikuwa kama nikimic kwenye kampani wadada wanamuuliza nyamayao yupo wapi mbona leo upo mwenyewe jibu alilokuwa anawapa ni kwamba "nimetemana nae"...akiulizwa y? "bac tu nimeamua iwe hivyo"....baada ya cku chache mmoja wa wadada akaniambia fulani ameshapata gfnd mwingine ndio cku hizi tunakuwa nae, nilikaaga chuo likizo yote ya miezi miwili pombe na mie, mie na pombe, halafu sasa hivi anajifanya nyooo nyooo.
Hapo atamsingizia shetani kumbe maruhani aliyanunulia udi mwenyewe! Mwe mapenzi yana vitukoh
 
Back
Top Bottom