Umeniharibia maisha! ...what?

Umeniharibia maisha! ...what?

MJ1 huyu wangu anavyojifanyaga anataka suluhisho hajui kwamba ndio ananifanya nimchukie, yaani naona ni usumbufuu usio na sababu, halafu mbaya kabisa anasema eti mr yeye alikuta ameshatengeneza so anakula jasho lake....hahahahha, madai yake kupendeza kwangu alianza yeye kunipendezesha so sasa hivi mr anamuibia, kama jinga vile.

LOL! astghafirullah!!!...ha hhhahha...Nyamayao unaua!!!!!!!
 
Respect....

ha ha ha, 'Safe Bruv!'
  • sijamharibia mtu maisha...
  • sijamharibia mtu siku yake...
  • sijamharibia mtu appettite yake...
  • sijamharibia mtu mood yake...
...Life Goes On bana!
 
Mbu nimekusoma sawia kaka...zipo sacrifice ninakubali na ni wazi nitakuwa sawa kufanya hivyo kwa kuwa ni maamuzi yangu katika kuboresha ninachoamini ni kwa faida yangu/yetu.....kama ni mapenzi nitafanya ninachogomba mie ni ile hali ya nimefanya kwa hiyari afu m,ambo yakienda mrama nimnyooshee kidole eti amenioharibia maisha yangu kwa kuwa nilitoka nje ya malengo yanu ya maisha?!! Nilitoka kwa utashi wangu uliopatikana through makubaliano na maelewano yetu. nim Nilitoa maelezo hayo kwa kuangalia ile mtu eti anakuachisha kazi, kwa sababu iso na msingi kisa kaamua tu kwa kuwa yye ni 'Kichwa' cha nyumba basi anatakiwa asikilizwe, niache kazi kwa kumfurahisha yeye bna nafsi yake.pasipo makubaliano!! Akijanitema kusema kweli sitawezajisamehe kwa upuuzi huo!! yaani toil yooote ya wazazi kunisomesha, mie kusoma halafu bila makubaliano niache!! mwe hapo mtanisamehe kwa kweli!

Nimeipenda hii...wajameni haya mambo ni ..Sacrifice...Confidence..Sacrifice..Accepts outcome!
 
Mbu my dear haya mambo yanategemea na umri bana lol, hebu na mimi nifunguke kidogo nisijifanye mgumu siwezi umizwa kumbe msururu wa matukio umri nao vinachangia,

Yaani kama asemavyo nyamayao mi naona hata yeye anaafadhali yaani mimi nasema kabisa kama sikufa kipindi kile basi walahi Yesu atanikuta hai hata kama ni kikongwe cha aina gani, ingawa sikumtishia mtu kujiua lakini nilikua natamani nife kabisa niiache hii dunia.

Ila sasa nikikumbuka huwa najicheka kabisa mwenyewe na kujiuliza sa nini kilikuwa kinanisumbua? mbona maisha sasa ni mazuri kuliko kipindi kile? ila ndio hivyo tena kuna umri kujitambua ni ngumu sana asee. Sasa hivi huwa namshangaa eti we ma fulani nionjeshe basi nimekukumbuka mi mzazi mwenzio, yaani namshangaaga sana asee, ni kipi nilichobadilika sasa? Sana sana kwa hasira lakini za moyoni namwambia embu acha hizo naomba hela ya pampas za mtoto alizonazo zinambana na kutaja kiasi kilichoshiba ili nikapunguzie hasira hata kwa kunywea bia tu. Na yeye kwa ujinga wake anatoa wakati litoto lina miaka kumi huku akidhani ananivuta akiwa na matumaini ipo siku huyu mama atanionjesha lol.

So kuna umri mtu mapenzi yakikuumiza unatamani kufa kabisa na hili wengi wetu tumepitia ila kwa sababu sasa hivi umri umeenda tunajifanya hatujawahi umizwa mwe!
Ubarikiwe mamaaa wa mapampas kwa kufunguka hahahahaha! Maty story yako itawafunza wengi sana nimefurahi ulivyo muwazi na ulivyoweza kuanza maisha yako bila bugudha ya mtu, watu hawa jamani ila dawa ushaipata sasa hivi
 
Kweli kabisa mpenzi wakipata vimeo huko ndio kutukumbukaga, kipindi kile nilikuwaje halafu sasa nimebadilika lol. Mi ndio huwa namkomeshaga kweli akishaanza habari zake oooh unajua we bado mke wangu tu, tuna mtoto na nini unafikiri nakasirika (maana mwingine angeanza ukome, si uliniacha sa hizi ndio unaniona mzuri?)

Hapana mi nnajifanya najichekesha kumbe langu rohoni halafu kesho yake naanza eeee unajua ba fulani mtoto hana skintaiti na halafu zimepanda kweli moja 50,000/= anahitaji tatu ili abadilishe badilishe yaani naongeza mahitaji kibao kuliko maelezo na yeye anatoa tu.

kwani huko aliko ashaumizwa na anaendelea kuumizwa, akinikumbuka tu namgea kibomu na hapindui na mimi nishamsoma udhaifu wake ukiona anakutafuta ujue yamemzidi na mimi hapo hapo kurudishia machungu aliyonipaga. yeye kwa upande wake anadhani akifanya hivyo ipo siku nitamkubalia hata awe mpenzi wa siri pole yake hajui ujanja ndio yeye mwenyewe kanifundisha baada ya kunikomaza kabla ya umri.

Hope haingiagi Jf lol, hakyanani
Mamii akiingia humu umekwisha
 
Mkuu kilichopo saa hizi ni kwamba, sijamtafuta kwa mawasiliano na wala yeye hajanitafuta. Miezi mi5 sasa.
Sasa sijui ndo tumeachana, au nimemuacha au yeye ndo kaniacha?
Hata sielewi elewi.

Nahisi kama akikubali kubadilika naweza kurudiana nae . . . lolz
pole CPU sikujua na ww umo katika kuharibiana, miezi mitano ni mingi sana kwa dunia ya sasa, atakuwa maybe keshaamua la kuamua, ni bora ungeongea nae kabisa ili ujue umesimamia wapi, ili uweze kuendelea na maisha
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
MJ1,Maty, Nyamayao.....mmepita mapito ya dunia,na mna story hata za kuwapa wajukuu wenu, wengine hata hatukupata hiyo nafasi ya kupitia hapa na pale ili kuelewa maisha yanaendaje, unakuja pata matatizo ndani ya ndoa hata hujui broken heart ni nini, mpaka unaamua kufanya maamuzi unayoona wewe ndio yanafaa, yote hii ni kukosa experience ya mahusiano mbalimbali.....Kwa kweli sijilaumu kwa kuwahi kuolewa ila nawish ningepitapita ili nielewe inakuwaje???? yaaani mtu anakuachaje??? hii haijanikuta maishani Kizuri zaidi mmepitia na sasa mnaendelea na maisha yenu as if nothing happened nawapa hongera sana na wengi watakaopitia humu watajifunza mengi kwenye posts zenu
 
Dunia ni uwanja wa fujo,...mpaka utapohadithiwa yaliyowakumba wenzako ndipo utapojua kumbe lako cha mtoto tu!
wale wanaokata tamaa haraka haraka, natarajia watapowasoma 'vingunge' hawa kidogo watakuwa na ujasiri wa kutuliza mioyo yao...

Muhimu kila mtu akumbuke maamuzi yake ya awali (mabaya/mazuri) ndiyo yaliyomfikisha hapo alipo.
Hakuna aliyekuharibia maisha, ni wewe mwenyewe uliamua kutumia 'shortcut' kufika hapa ulipo...

863700462_6cec6beaa2.jpg
After the storm, enjoy the colors of the Rainbow! ....Piga moyo konde, maisha yanaendelea!...'baada ya dhiki faraja!'....
 
Hahahha Gaga bana...........hapa mioyo imefunguka mpenzi.......... karibu jifunze.
Usiombee kupitia huko kwani experience yake kwa muda ule si nzuri hata kidogo mwe mie ctamani kujikumbukisha kipindi kile maana nlikoma kama sindano halafu anokukondesha anaungana na ulimwengu kukushangaa kwa nini wakonda!! ah acheni kabisa .................... halafu wengine wamejaaliwa sura za wizi (upooooleee, so innocent) kiasi kwamba tulikuwa twaonekana sie ndo mabedui.......mpaka ukweli ujulikane!! umechoka hadi unywele
 
Kweli kabisa kabla hujasikia ya wenzako unaweza dhani wewe ndio una matatizo twashukuru sana
 
Dunia ni uwanja wa fujo,...mpaka utapohadithiwa yaliyowakumba wenzako ndipo utapojua kumbe lako cha mtoto tu!
wale wanaokata tamaa haraka haraka, natarajia watapowasoma 'vingunge' hawa kidogo watakuwa na ujasiri wa kutuliza mioyo yao...

Muhimu kila mtu akumbuke maamuzi yake ya awali (mabaya/mazuri) ndiyo yaliyomfikisha hapo alipo.
Hakuna aliyekuharibia maisha, ni wewe mwenyewe uliamua kutumia 'shortcut' kufika hapa ulipo...

863700462_6cec6beaa2.jpg
After the storm, enjoy the colors of the Rainbow! ....Piga moyo konde, maisha yanaendelea!...'baada ya dhiki faraja!'....

Haahahaha mbu bana eti vingunge lol. Mimi naweza kusema huyu wangu ni mharibifu kwa kweli au sijui anaingiaga jf huyu mwe! huwezi amini jana natoka tu ofcn kanipigia simu kama kawaida yake anakumbushia eti lini tutakumbushia, hivi huyu ni mzima kweli wajameni? nikisema ni mharibifu nakosea? na ameniambia nitafanya kila njia mpaka iwe haiwezekani wewe tu ndio uwe mbishi wengine wote nikiwafata hawawezi nikatalia kabisa.

Niliumia kwa kweli pamoja na yote aliyonifanyia je ningekufa kweli kipindi kile? anaanzaje kunitamkia hivyo tena? Basi kama kawaida yangu huwa sina muda wa kubishana nae nibishane nae kwa maneno napata faida gani? sana sana napoteza tu sauti yangu. Nikajichekesha na kumwambia unajua nimeishiwa nitumie basi kiasi fulani, akaniuliza we pesa zako unapelekaga wapi kila siku unaishiwa? nikamwambia unanitumia hunitumii? kama hutaki basi na usinipigie tena simu habari za mtoto kawaulize walimu wake huko. Baada ya dk 5 ikaingia msg toka m-pesa B97..... imethibitishwa umepokea kiasi fulani kutoka kwa ..... Yaani anafanya yote hayo mpaka kutumia pesa zake ili tu anipate, wadada nadhani mnaelewa mbaba kama hajaonja basi atafanya kila kitu mradi tu uvutike. sa ndio anavyonifanyia sasa huyu mbaba nimekuwa ni kipya gani sasa? Nadhani kimoyo moyo anasema utaingia tu kwenye line

So kila siku nagundua wanawake tunafanywa wajinga sana kwa kweli yaani mtu anakaa huko akikumbuka huyo anaomba. Na nimegundua wanawake wengi huwa hawapingi na ndio maana wamezoea na kuendeleza mchezo wao wa kutufanya vyombo vya starehe.

Wadada tuwe na misimamo ili tuheshimike, tunalalama tu tunatendwa tunatendwa kumbe wenyewe ndio tunawaendekeza hawa watu. Huyu wangu namwonea huruma kwani hajui aliko lala mi ndio nimeamkia huko huko.

Naaamini kuna wadogo zangu wengi tu humu, jifunzeni kupitia mifano ya sisi dada zenu
 
Duh mbona mkasa! hapo hata ukikumbushia nae ni wewe mwenyewe kwa hamu zako hakuna wa kukuharibia maisha hapo, sasa hivi una akili timamu hakuna kutumiwa kijinga, wewe unamtumia na yeye anakutumia ipasavo "mnatumiana" utu uzima dawa ati....kwani bado yuko single?
 
....... huwezi amini jana natoka tu ofcn kanipigia simu kama kawaida yake anakumbushia eti lini tutakumbushia, hivi huyu ni mzima kweli wajameni? nikisema ni mharibifu nakosea? na ameniambia nitafanya kila njia mpaka iwe haiwezekani wewe tu ndio uwe mbishi wengine wote nikiwafata hawawezi nikatalia kabisa.

....... Nikajichekesha na kumwambia unajua nimeishiwa nitumie basi kiasi fulani, akaniuliza we pesa zako unapelekaga wapi kila siku unaishiwa? nikamwambia unanitumia hunitumii? kama hutaki basi na usinipigie tena simu habari za mtoto kawaulize walimu wake huko. Baada ya dk 5 ikaingia msg toka m-pesa B97..... imethibitishwa umepokea kiasi fulani kutoka kwa ..... Yaani anafanya yote hayo mpaka kutumia pesa zake ili tu anipate, wadada nadhani mnaelewa mbaba kama hajaonja basi atafanya kila kitu mradi tu uvutike. sa ndio anavyonifanyia sasa huyu mbaba nimekuwa ni kipya gani sasa? Nadhani kimoyo moyo anasema utaingia tu kwenye line........

Habari yako Maty.....nachelea kuweka maoni yangu hapo......
 
Back
Top Bottom