Umeniharibia maisha! ...what?


Huyu siwezi kukumbushia kabisa naamini nitaharibu kila kitu asee, unajua mtu akiwa na uchu anafanya chochote kile mradi aweze kutimiza kiu yake? Siwezi kumruhusu anitumie aseee imekula kwake nitamtumia mpaka akistuka aende zake tu.

Huyu ana mke na watoto msururu tu nikiwataja atanishtukia kama anaingiaga humu. Sasa nitakachokua nafanya si kama naiba tu? halafu naiba ambacho kiliwahi kuwa changu hapana kwa kweli, kama ananitamani si wapo wengine wananitamani pia? Ye atatumika tu inawezekana ninachofanya sio kitu kizuri lakini yeye si atulie na mke wake huko na aniache mimi niendelee na maisha yangu.
 
Eti nini?
 
Kama uko poa....mimi poa sana....
Yaani lijamaa lilisigina roho yako hivihivi......ila usilichune kama afanyavyo Maty....kuna siku utalipa....

Ananichosha bana mtu saa nyingine umekaa na yako mara simu sasa ma fulani vipi ile makitu? Mi simchuni ila kwa sababu ananikera na ningeweza hata kumtukana, lakini sipendi ugomvi na yeye kwani hata iweje siwezi badilisha ukweli kwamba ye ndio baba wa huyu malaika wangu nimpendae kuliko kitu kingine chochote.

Sasa yale machungu niyapunguzaje? labda unipe mbinu ya kupunguza haya makovu anayoyatonesha kila siku. Mimi naamini kuna kusamehe lakini hakuna kusahau sa anavyoniambiaga huwa ananikumbusha yale machungu aliyoniachia.
 
Halafu watu wa aina hii wanapenda wakuharibie kila kitu, hata mchuchu uliyenae akasirike au akuache ndio atatulia... poa lakini cha muhimu mwanao usimnyime haki ya kuwa na baba yake tu
 

mie niliwahi pia kuolewa ila nilianza matuc mapema ndio mana nikapitia hayo yote, nilivyoachwa nilipata uoga kabisa wa kupenda tena, nilikuwa najua wote ni wale wale, yaani kile kipindi kilinitesa sana, nilikuwa nakunywa pombe za aina zote kasoro gongo, college nilikuwa nakuona kama segerea, ilinichukua muda sana kupenda, na mr alifanya kazi kubwa sana kunirudisha kwenye hali ya kimapenzi, ilichukua muda kumuamini lakini ikawa na ikawa na maisha yakaendelea, halafu mwanaume wa hivi anakuja na hadithi zake za adunuwac kwamba alipitiwa nimpe nafac anielezee cjui nn na nn, yaani nazidigi kumchukia kwa jinc anavyonisumbua....Gaga kiujumla maisha matamu ukikubaliana na matokeo.
 
Leo Mamito naona umeamua "kufunguka" asubuhi asubuhi, siku itaisha kweli?
 

Mimi nikupendeaga hizi ccccc zako....hivi invizibo kapeleka wapi kale kasmiley ka malovee?
 
Kumbe?.......... Nimekwisha!
 
Leo Mamito naona umeamua "kufunguka" asubuhi asubuhi, siku itaisha kweli?

Hahahaaa....ndo maana nikasita kuweka maoni hommie.....
Ulanzi wa baridi kwenye baridi na huyu mnyama wangu utaua hommie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…