Na yule aliyeletewa magonjwa kwenye ndoa (mfano ukimwi)...,???
Au yule anayeambiwa na mwenzake kuwa kila anachofanya akiwezekani badala ya kumpa moyo
Mkuu all in all mafanikio yetu au kutokufanikiwa kwetu kunategemea the Company we Keep na ni nani tunashirikiana nae..,
Kikubwa ni jinsi ya kuepuka kudondokea kwenye mikono ya wanyang'anyi ili kuepuka kuona kwamba 'umeharibiwa' maisha:
a) Jitahidi kumjua mtu kwa undani zaidi kabla mapenzi hayajafika mbali - ni kweli hisia za mvuto zinaweza kuwa kubwa (kwa kisingizio cha love at first sight) na hii ndo imetengeneza waathirika wengi (kwa mtazamo wangu)
b) Kujaribu kuyajua mahitaji - wengi hapa wanakuwa na shida za kimwili ( tamaa, umaskini) au elimu n.k : Point ni kwamba; kutoruhusu mahitaji yatuzidi akili na uwezo wa kuamua kama jambo ni sahihi au sio sahihi kwa wakati huo
c)
d)
e)
....baadaye
Kwa kifupi hayo ndo maoni yangu
WHAT DO YOU WANT IN LIFE? [/quote]
[SUP]Naamini kwenye hatua za awali kabisa za mapenzi, mkiwekana sawa katika hili, huko mbele ya safari ni kusahihisha
deviations zitazojitokeza au kuzibia viraka pale nytufa zitapoanza kujitokeza.
Ni muhimu kila mmoja kujitambua nini anataka maishani na kuwa muwazi kwa mwenza wake kuelezea malengo yake.
Ajuabu ya haya maisha yetu sie dunia ya tatu, wengi wetu tunasukumwa sukumwa tu, mtu unamuuliza nini malengo ya maisha yake , hana jibu! kisha siku ya siku anakwambia umemharibia maisha...ukimuuliza kivipi hana jibu!
[/SUP]
Ndoa its just papers watu mnaweza mkawa mnakaa pamoja mkitegemea kwamba future yenu mtakuwa pamoja.., kwahiyo ukitumia upendo wa mwenzako kwako kama silaha ya kuweza kumlaghai au kumpa matumaini ambayo hayapo.., au baadae baada ya kumpa mzigo ukakataa responsibilities... you are liable....Mkuu, hata hilo la UKIMWI linaweza kuwa la kujitakia.
Likitokea ndani ya ndoa kwa kweli linakuwa UMEHARIBIWA MAISHA.
Ndio maana nikasema kabla ya ndoa UNAJIHARIBIA MAISHA MWENYEWE.
Nadhani umeelewa nasisitiza nini . . .
ha ha ha, nyamayao bana...uliishi miezi tisa tumboni mwa mama yako, ukaishi miaka nenda rudi mpaka ulipokutana na huyo prince charming,...iweje uone maisha hayakuwa na thamani tena? huu UGONJWA MAPENZI NI BALAA...
Hebu leo miaka kadhaa ishapita jaribu kurudisha hisia zako siku ile ulipojiona maisha hayana thamani tena, kwanini ulifikiria hivyo?
Mbu my dear haya mambo yanategemea na umri bana lol, hebu na mimi nifunguke kidogo nisijifanye mgumu siwezi umizwa kumbe msururu wa matukio umri nao vinachangia,
Yaani kama asemavyo nyamayao mi naona hata yeye anaafadhali yaani mimi nasema kabisa kama sikufa kipindi kile basi walahi Yesu atanikuta hai hata kama ni kikongwe cha aina gani, ingawa sikumtishia mtu kujiua lakini nilikua natamani nife kabisa niiache hii dunia.
Ila sasa nikikumbuka huwa najicheka kabisa mwenyewe na kujiuliza sa nini kilikuwa kinanisumbua? mbona maisha sasa ni mazuri kuliko kipindi kile? ila ndio hivyo tena kuna umri kujitambua ni ngumu sana asee. Sasa hivi huwa namshangaa eti we ma fulani nionjeshe basi nimekukumbuka mi mzazi mwenzio, yaani namshangaaga sana asee, ni kipi nilichobadilika sasa? Sana sana kwa hasira lakini za moyoni namwambia embu acha hizo naomba hela ya pampas za mtoto alizonazo zinambana na kutaja kiasi kilichoshiba ili nikapunguzie hasira hata kwa kunywea bia tu. Na yeye kwa ujinga wake anatoa wakati litoto lina miaka kumi huku akidhani ananivuta akiwa na matumaini ipo siku huyu mama atanionjesha lol.
So kuna umri mtu mapenzi yakikuumiza unatamani kufa kabisa na hili wengi wetu tumepitia ila kwa sababu sasa hivi umri umeenda tunajifanya hatujawahi umizwa mwe!

hahahaah Maty, una balaa wewe, nimecheka kwa nguvu zote, hawa viumbe wana tabu sana, mie ndio ananiambiaga nilikuwa chaguo lake kuwa mke sema shetani tu alimpitia nimpe muda tuongee kidogo aweze kunielezea kilihotokea, yaani namuonaga kama kituko hivi na anshukurugi sana sana alinitenda coz sasa hivi ningekuwa na maisha ya ajabu kama alivyo yeye kwa sasa.

Nyie viumbe wawili msinichekeshe ah........yaani maty kuwa Yesu atarudi akukute hai!!! hahahahah
hawa viumbe hadithi jamani acheni................ mie kuna mmoja hapa juzi kati anantafuta eti anaomba 'tuibie' ili apate furaha aliyoipoteza miaka hiyo. Eti mwenza wake wa sasa anam'nyanyasa' yaani najichekea tu hapa kwa masikitiko............anasahau muda wa kulidanganya hili liMwanajamiiOne ushapita looong!

Mbu nimekusoma sawia kaka...zipo sacrifice ninakubali na ni wazi nitakuwa sawa kufanya hivyo kwa kuwa ni maamuzi yangu katika kuboresha ninachoamini ni kwa faida yangu/yetu.....kama ni mapenzi nitafanya ninachogomba mie ni ile hali ya nimefanya kwa hiyari afu m,ambo yakienda mrama nimnyooshee kidole eti amenioharibia maisha yangu kwa kuwa nilitoka nje ya malengo yanu ya maisha?!! Nilitoka kwa utashi wangu uliopatikana through makubaliano na maelewano yetu. nim Nilitoa maelezo hayo kwa kuangalia ile mtu eti anakuachisha kazi, kwa sababu iso na msingi kisa kaamua tu kwa kuwa yye ni 'Kichwa' cha nyumba basi anatakiwa asikilizwe, niache kazi kwa kumfurahisha yeye bna nafsi yake.pasipo makubaliano!! Akijanitema kusema kweli sitawezajisamehe kwa upuuzi huo!! yaani toil yooote ya wazazi kunisomesha, mie kusoma halafu bila makubaliano niache!! mwe hapo mtanisamehe kwa kweli!
Mbu my dear haya mambo yanategemea na umri bana lol, hebu na mimi nifunguke kidogo nisijifanye mgumu siwezi umizwa kumbe msururu wa matukio umri nao vinachangia,
Yaani kama asemavyo nyamayao mi naona hata yeye anaafadhali yaani mimi nasema kabisa kama sikufa kipindi kile basi walahi Yesu atanikuta hai hata kama ni kikongwe cha aina gani, ingawa sikumtishia mtu kujiua lakini nilikua natamani nife kabisa niiache hii dunia.
Ila sasa nikikumbuka huwa najicheka kabisa mwenyewe na kujiuliza sa nini kilikuwa kinanisumbua? mbona maisha sasa ni mazuri kuliko kipindi kile? ila ndio hivyo tena kuna umri kujitambua ni ngumu sana asee. Sasa hivi huwa namshangaa eti we ma fulani nionjeshe basi nimekukumbuka mi mzazi mwenzio, yaani namshangaaga sana asee, ni kipi nilichobadilika sasa? Sana sana kwa hasira lakini za moyoni namwambia embu acha hizo naomba hela ya pampas za mtoto alizonazo zinambana na kutaja kiasi kilichoshiba ili nikapunguzie hasira hata kwa kunywea bia tu. Na yeye kwa ujinga wake anatoa wakati litoto lina miaka kumi huku akidhani ananivuta akiwa na matumaini ipo siku huyu mama atanionjesha lol.
So kuna umri mtu mapenzi yakikuumiza unatamani kufa kabisa na hili wengi wetu tumepitia ila kwa sababu sasa hivi umri umeenda tunajifanya hatujawahi umizwa mwe!
khaaaa? hhhaaa hha hhaaa! ama wajinga ndio waliwao...Maty acha 'kumharibia' mwenzio maisha bana, mtoto amekua huyo!
Au ndio anaziba nyufa?....
Kweli kabisa mpenzi wakipata vimeo huko ndio kutukumbukaga, kipindi kile nilikuwaje halafu sasa nimebadilika lol. Mi ndio huwa namkomeshaga kweli akishaanza habari zake oooh unajua we bado mke wangu tu, tuna mtoto na nini unafikiri nakasirika (maana mwingine angeanza ukome, si uliniacha sa hizi ndio unaniona mzuri?)
Hapana mi nnajifanya najichekesha kumbe langu rohoni halafu kesho yake naanza eeee unajua ba fulani mtoto hana skintaiti na halafu zimepanda kweli moja 50,000/= anahitaji tatu ili abadilishe badilishe yaani naongeza mahitaji kibao kuliko maelezo na yeye anatoa tu.
kwani huko aliko ashaumizwa na anaendelea kuumizwa, akinikumbuka tu namgea kibomu na hapindui na mimi nishamsoma udhaifu wake ukiona anakutafuta ujue yamemzidi na mimi hapo hapo kurudishia machungu aliyonipaga. yeye kwa upande wake anadhani akifanya hivyo ipo siku nitamkubalia hata awe mpenzi wa siri pole yake hajui ujanja ndio yeye mwenyewe kanifundisha baada ya kunikomaza kabla ya umri.
Hope haingiagi Jf lol, hakyanani
mie langu lilioa mara mbili na kuacha, sasa hivi yupo yupo tu madai yake ananisubiria nije kuwa mke wake ndio aliyeandikiwa, hahahah atasubiri sana, juzi juzi tena kaniboa kweli kanitumia na pics kibao za enzi zile tulivyokuwa wapenzi, yaani nilikereka kweli...
Umeona eee mamy? umeona hawa viumbe walivyo wapuuzi (mtanisamehe sio wote lol) eti uanze tu kuiba kilichowahi kuwa chako phewwww lol. Na kwa ujinga wake anadhani wewe ni yule yule aliewahi kukudanganya enzi hizo, hehehehehe huyu wangu pole yake kabisa asee, tunavyodanganyishiana hadi raha.
Mwanajamii walahi yesu atanikuta, maana hakuna ambalo linanistua sasa hata itokee nini najua tu litapita kama mengine yalivyopita. Halafu Mbu hii thread ilipofikia nitashindwa kumalizia kazi zangu ifunge kwa muda bana lol
hahahaah Maty, una balaa wewe, nimecheka kwa nguvu zote, hawa viumbe wana tabu sana, mie ndio ananiambiaga nilikuwa chaguo lake kuwa mke sema shetani tu alimpitia nimpe muda tuongee kidogo aweze kunielezea kilihotokea, yaani namuonaga kama kituko hivi na anshukurugi sana sana alinitenda coz sasa hivi ningekuwa na maisha ya ajabu kama alivyo yeye kwa sasa.Nyie viumbe wawili msinichekeshe ah........yaani maty kuwa Yesu atarudi akukute hai!!! hahahahah
hawa viumbe hadithi jamani acheni................ mie kuna mmoja hapa juzi kati anantafuta eti anaomba 'tuibie' ili apate furaha aliyoipoteza miaka hiyo. Eti mwenza wake wa sasa anam'nyanyasa' yaani najichekea tu hapa kwa masikitiko............anasahau muda wa kulidanganya hili liMwanajamiiOne ushapita looong!mie langu lilioa mara mbili na kuacha, sasa hivi yupo yupo tu madai yake ananisubiria nije kuwa mke wake ndio aliyeandikiwa, hahahah atasubiri sana, juzi juzi tena kaniboa kweli kanitumia na pics kibao za enzi zile tulivyokuwa wapenzi, yaani nilikereka kweli...Hahaha mbu hana haya huyu mwanaume mwenzio alishaniharibia kwanza (yale yaleeeeeeee lol) usicheke.
Sa sasa hivi ananitafuta ni mwana wa mwenzie lol, ingekua ndio enzi zile ningesema anataka kuniharibia kwa mara ya pili lol. Sasa huyu si ananifanya mi mjinga jameni, hivi ananichukuliaje? Ndio hivyo na mi namgeuza mjinga twende kazi
mnh, hiyo kaka hiyo wataka n'nyima nini?
nikishaizoea na shikamoo nitakudai! LOL...."Usijeniharibia maisha!"
Mwj1, maisha ni vile wewe unataka yawe, matokeo ya maisha ni vile ulivyochagua hapo awali!
Hilo la mume kung'ang'ana eti uache kazi kwakuwa yeye hataki, mimi nalipinga kwa nguvu zote!
Hainiingii akilini eti uache kazi, ili iweje?
Hata kama ni yeye kakuunganishia, hata kama ni yeye aliyekushawishi, hata kama amekukuta tayari
waifanya hiyo kazi,...hakuna justification yeyote bana itayoniingia akilini mtu aache kazi yake kumfurahisha mwenziwe.
"Ukipenda boga,....!".... ila kuna zile exceptions...mfano mke anafanya kazi za ajabu ajabu kama stripper/dancer wa hizi bendi za muziki/nk hapo sitamlaumu mtu anayekusudia kuokoa ndoa yake na majaribu ya shetani..
Lakini nimekukuta Mwj1 na jembe lako mkononi, halafu nikulazimishje uache kilimo kwanza? Huh...utakuwa wazimu huo. Mie ndio kwanza nitakununulia mbegu bora na mbolea ili tufanikishe mavuno zaidi.
Haya mambo ya acha kazi ukae nyumbani mwishowe huzua "unalala lala tu hapa, unasubiri uletewe kama Golikipa!"
This Scenario cuts both ways!....namwogopa sana mwanamke ambaye baada ya kuolewa eti naye anaamua kuacha kazi,
na kuamua kuwa full time house wife....kisa? eti apate kumhudumia vizuri mumewe!
Lakini nawe mpaka ukakubali ushawishi huo, mnh! Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi...
Uwe na amani.
Eh umeyachokoa haya maskeletoni yetu afu wakaa pembeni ukiangalia yanavyojikinga baridi?? una visa weye ................HHAHHHAAA! ...Nyie watatu mshakutana hapa hapatoshi tena, acha nisogeze kiti pembeni,
namuachia chaki na ubao Mwj1 aendeleze hili darasa....acha nicheke tu hayo mnayoyasema maana mnh!
Kwakweli maisha haya, aheri yangu niliyejifunza "...kivuli kinifuate badala ya kukifuata kivuli!"
.........hahahaah nyiew abeijing hebu punguzeni ukali kidogo ah........ni vema kuwashukuru kwa kutupitisha huko tulikopita maana wametusaidia kuwa wakomavu, waelewa na 'wakubwa' kusema ukweli mie ninamshukuru sana na nilimwambia kabisa kuwa yaani ninamshukuru sana kwa alivyoni'kuza' na nina uhakika hata huyu niliyenaye kwa sasa anatamani kumshukuru kwa kum'lelea' na kum'fundia' maana nimepikika haswa!
So sidhani kama tunapaswa kuwachukia kiasi hiki loh............nyamayao kama nakuona unavyoachia msonyo wakati unaangalia hizo picha.... ah ulivuta hisia??