Eh umeyachokoa haya maskeletoni yetu afu wakaa pembeni ukiangalia yanavyojikinga baridi?? una visa weye .............
hahah kusema kweli maisha matamu sana nikikumbuka nlivyotaka kujiua kwa kunywa bia tatu kali loh.......(ilikuwa mara yangu ya kwanza) sijui nani alinidanganya bia yaua ah!!
mie langu lilioa mara mbili na kuacha, sasa hivi yupo yupo tu madai yake ananisubiria nije kuwa mke wake ndio aliyeandikiwa, hahahah atasubiri sana, juzi juzi tena kaniboa kweli kanitumia na pics kibao za enzi zile tulivyokuwa wapenzi, yaani nilikereka kweli...
Eh umeyachokoa haya maskeletoni yetu afu wakaa pembeni ukiangalia yanavyojikinga baridi?? una visa weye .............
hahah kusema kweli maisha matamu sana nikikumbuka nlivyotaka kujiua kwa kunywa bia tatu kali loh.......(ilikuwa mara yangu ya kwanza) sijui nani alinidanganya bia yaua ah!!
ila ni kweli mamito, to be frank huwa namshukuru sana sana tena sana kwani amenipika nikapikika, kwa kweli bila kunifanyia yale sidhani ningekuwa mwanamke mwenye msimamo kama ambao nilio nao sasa, mimi kwa sasa mtu akinidanganya ujue nimependa mwenyewe, kwa kweli kwa hilo namshukuru.
Ila anachoniudhigi ni hichi cha kutaka kunifanya mimi kiburudisho chake cha pembeni, kukuona umependeza basi kosa tamaa inamwakaje? hapo bwana huwa ananikera kuliko maelezo na mimi kukereka kwangu huwa sikuonyeshi kwa maneno bali kwa vitendo.

Mwambie kabisa huyu mbu arudi hapa, aje apunge haya mashetani aliyoyatibua lol!
Mpenzi wacha nikupandie kunako pm.....liache hadi masiha arudi alikute linangoja...
aahhahhaaa hha!...e bana weee? sasa hapo si ulizimika au?
halafu kesho yake ukaamka na ma-hangover kibao, na hasira zinakuja double double?
Ama maisha ni kujiharibia mwenyewe...
Eh umeyachokoa haya maskeletoni yetu afu wakaa pembeni ukiangalia yanavyojikinga baridi?? una visa weye .............
hahah kusema kweli maisha matamu sana nikikumbuka nlivyotaka kujiua kwa kunywa bia tatu kali loh.......(ilikuwa mara yangu ya kwanza) sijui nani alinidanganya bia yaua ah!!
Wamtafuta undani weye loh eti picha za ugeloflendi.........Nipo hapa hapa, wala usikonde...ha hhahhaa!...
nawasomeni nyote mstari kwa mstari, ....mwambieni Nyamayao mtandao umerudi hewani...
au ndio karudi kabatini kuziangalia zile picha enzi za 'ugeloflendi!'
Ila kwakweli mmenifurahisha sana upokeo wenu wa maisha mapya bada ya kuuvuka mtihani wa maisha.
Wenzenu wengi tu tulishawazika....enzi zile Klorokwini na Piriton zilipokuwa dili, eti watu wanatishia kujiua
halafu kweli roho inaacha mwili!
Ila hiyo ya bia tatu za Mwj1 imeniacha hoi,....ungekunywa Ze Bingwa labda, mnh...ningeshakukosa maskini!
Ha ha haHakyanani! leo Maty amekunywa supu ya bamia maana unavoteleza hata wakijaribu kukushika wapi wateleza tu,punguza hasira kidogo.
.........hahahaah nyiew abeijing hebu punguzeni ukali kidogo ah........ni vema kuwashukuru kwa kutupitisha huko tulikopita maana wametusaidia kuwa wakomavu, waelewa na 'wakubwa' kusema ukweli mie ninamshukuru sana na nilimwambia kabisa kuwa yaani ninamshukuru sana kwa alivyoni'kuza' na nina uhakika hata huyu niliyenaye kwa sasa anatamani kumshukuru kwa kum'lelea' na kum'fundia' maana nimepikika haswa!
So sidhani kama tunapaswa kuwachukia kiasi hiki loh............nyamayao kama nakuona unavyoachia msonyo wakati unaangalia hizo picha.... ah ulivuta hisia??
Ha ha haHakyanani! leo Maty amekunywa supu ya bamia maana unavoteleza hata wakijaribu kukushika wapi wateleza tu,punguza hasira kidogo.
MJ1 huyu wangu anavyojifanyaga anataka suluhisho hajui kwamba ndio ananifanya nimchukie, yaani naona ni usumbufuu usio na sababu, halafu mbaya kabisa anasema eti mr yeye alikuta ameshatengeneza so anakula jasho lake....hahahahha, madai yake kupendeza kwangu alianza yeye kunipendezesha so sasa hivi mr anamuibia, kama jinga vile.
Nipo hapa hapa, wala usikonde...ha hhahhaa!...
nawasomeni nyote mstari kwa mstari, ....mwambieni Nyamayao mtandao umerudi hewani...
au ndio karudi kabatini kuziangalia zile picha enzi za 'ugeloflendi!'
Ila kwakweli mmenifurahisha sana upokeo wenu wa maisha mapya bada ya kuuvuka mtihani wa maisha.
Wenzenu wengi tu tulishawazika....enzi zile Klorokwini na Piriton zilipokuwa dili, eti watu wanatishia kujiua
halafu kweli roho inaacha mwili!
Ila hiyo ya bia tatu za Mwj1 imeniacha hoi,....ungekunywa Ze Bingwa labda, mnh...ningeshakukosa maskini!
Hahahaha lol na hivi enzi hizo computer hakuna kuanza kutype nilianzia na typewriter tena ile manual ukigusa tu unaenda nayo mpaka chini tiii mpaka kwenda herufi nyingine jasho limekutoka, sasa hii keyboard nateleza nayo tu lol, kama kumsukuma mlevi vile mwe!
Sina hasira mamito ila wanatakiwa wajue tuna misimamo sasa
hebu burudika na hii lyrics kutoka kwa Whitney houston lol
"On My Own"
I'm wiser now
I'm not the foolish girl you used to know
So long ago
I'm stronger now
I've learned from my mistakes which way to go
And I should know
I put myself aside to do it your way
But now I need to do it all alone
And I am not afraid to try it on my own
I don't care if I'm right or wrong
I'll live my life the way I feel
No matter what I'll keep it real you know
Time for me to do it on my own
Yeah yeah, mmm, yeah yeah
It's over now
I can't go back to living through your eyes
Too many lies
And if you don't know by now
I can't go back to being someone else
Not anymore
I never had a chance to do things my way
So now it's time for me to take control
And I am not afraid to try it on my own
I don't care if I'm right or wrong
I'll live my life the way I feel
No matter what I'm gonna keep it real you know
Time for me to do it
Oh I start again go back to one
I'm running things my way
Can't stop me now, I've just begun
Don't even think about it
There ain't no way about it
I'm taking names, the ones of mine
Yes I'm gonna take my turn
It's time for me to finally stand alone, stand alone
I am not afraid to try it on my own
And I don't care if I'm right or wrong
I'll live my life the way I feel
No matter what I'm gonna keep it real you know
It's time for me to do it
See I'm not afraid
hahaha kwa hiyo Maty huyu kajiharibia mwenyewe maisha wala asikusingizie wewe loh............unajua huwa tunasikitika na kusononeka kuwa umeumizwa, tena tunajiuliza why me, kwa nini sina bahati kumbe ni blessings in disguise wenyewe wanasema! nakumbuka siku nimependwa mie na mpenzi wa nafsi yangu baada ya kuumizwa nikawa nalalamika ......hivi ulikuwa wapi nisikutane na wewe kwanza kabla ya kukutana na huyu aliyeniponda ponda na kuuvunja vunja moyo wangu beyond repair?' alinijibu akisema nilikuwa nami huko nilikokuwa nami nikivunjwa vunjwa moyo na kupondwa pondwa ili tukijakutana mimi na wewe tuelewe thamani ya kupenda na kupendwa............... Nami najiuliza kama nisingekuwa na majeraha yeye angekuja kufariji nini? moyo wangu ungekuwa mzima bila makovu yeye angepuliza wapi............... ninamshukuru kwa kunionyesha hii positive thinking ya maumivu ya mapenzi!
Wapo humu humu,wanajilizaliza na kukamuliwa hao mpaka mafua lakini wakiingia hapa unafikiri wanasemaga.
Asante mpenzi,huwa tunajifunza kukomaa kutokana na makosa.Halafu leo nimeamka mpole mwenzio hata kusema naona uvivu uwe na jioni njema.
Mwj1...LOL....msg Received! hivi ulimaliza chupa zote tatu?
Usirudie tena! eti uliposhtuka ukajikuta watu wamekuzunguka... ha ha ha....
Chauro, nadhani sasa ni wakati muafaka nawe kuja kumwaga ushuhuda wako humu.
Najua roho yako haistahmili pupwe, lakini hapa tumo kwenye healing process!
Si unamuona Maty na kibwebwe kajifunga kiunoni? ha hha haa...
Kasoma kaelimika, hathubutu yeyote kuja muharibia maisha yake tena!
Asante my dear nawe pia uwe na siku njema na huo uvivu ukutoke kabisa lol.
He kwaherini wajameni ngoja niwahi m-pesa mie kwani nishatuma kibomu maziwa ya mtoto yameisha lol