Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #141
Mapenzi mubashara kabisaBac sawa mama Sabrina naona mapenz mubashara moja waona kumi na moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi mubashara kabisaBac sawa mama Sabrina naona mapenz mubashara moja waona kumi na moja
Umefurahia eeUsiku mrefu sana asante kwa kuufupisha
Yah imebidi nivute shuka vizur mana leo kagoma kuja kisa tar mbayaUmefurahia ee
Hana chura.Fanya mambo sasa.
Ipi?Alisema ni bikra
Ipi?
Daaah Mama sabrina hii track nimeipenda aseeh.... thanks.
Ina ni catch fellings hatari.
Mziki wa bongo unakua saana...[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Dedication yako huo wimboWewe bwana hawakukunji vilivyo.usingeata muda wa kuandika mashairi marefu hivi.
Daaah Mama sabrina hii track nimeipenda aseeh.... thanks.
Ina ni catch fellings hatari.
Mziki wa bongo unakua saana...[emoji7] [emoji7] [emoji7]
We unataka nife nikiwa sijachuja ili wadudu wakanifaidi kaburiniUtachuja mapema jitie kiherehere uone..!
Hatari... wacha niupige pige kama mama klaree atanidedictia.Mim najuaa kuchagu eti umeupendaa
Hahaahajaj haya ulale vizuriYah imebidi nivute shuka vizur mana leo kagoma kuja kisa tar mbaya
We unataka chura niniHana chura.
AsanteHongereni kwa kupendana.
Haahahahah unatamani akuimbie hata kidogoHatari... wacha niupige pige kama mama klaree atanidedictia.
Atakuwa anafura ....Haahahahah unatamani akuimbie hata kidogo
Kwa hiyo jamaa yangu huko anavimba kichwa sio
Atakuwa anafura ....
Sema kemikali aache kuchanganya r na l sasa... beka ana sauti nzuri saana....
Mwache avimbe apasuke muda ndio huu
Yaa watu wapengi wana tatizo la kuchanganya hizo herufi