Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Daaah Mama sabrina hii track nimeipenda aseeh.... thanks.

Ina ni catch fellings hatari.

Mziki wa bongo unakua saana...[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Daaah Mama sabrina hii track nimeipenda aseeh.... thanks.

Ina ni catch fellings hatari.

Mziki wa bongo unakua saana...[emoji7] [emoji7] [emoji7]

Mim najuaa kuchagu eti umeupendaa
 
Atakuwa anafura ....

Sema kemikali aache kuchanganya r na l sasa... beka ana sauti nzuri saana....

Mwache avimbe apasuke muda ndio huu
Yaa watu wapengi wana tatizo la kuchanganya hizo herufi
 
Back
Top Bottom