Umenitumia weee, ukanioa, alafu umeenda kunitupa shamba, hivi wanaume mkoje

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Jaman wanaume mnaitwa huku

Mmemtumia dada WA watu alafu mkamuoa

Mlipomuoa mkaenda kumweka aishi shamba

Kwani wakati mnamtumia mlitumia akiwa shamba au unaona alikaa mjini wenzio watafaidi?
Wanaume mkoje lakini??

NYUZI ZANGU ZINGINE:
Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

 
Samahani... hiv wew ni mwanasheria... HAKI SAWA KWA WOTE SIO HAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…