Umenitumia weee, ukanioa, alafu umeenda kunitupa shamba, hivi wanaume mkoje

Umenitumia weee, ukanioa, alafu umeenda kunitupa shamba, hivi wanaume mkoje

"we nenda Kijijini ngoja mi nipambane hapa mjini nikimulikiwa tochi na mtoa riziki takuja kukuchukua"
 
Jaman wanaume mnaitwa huku

Mmemtumia dada WA watu alafu mkamuoa

Mlipomuoa mkaenda kumweka aishi shamba

Kwani wakati mnamtumia mlitumia akiwa shamba au unaona alikaa mjini wenzio watafaidi?

Wanaume mkoje lakini??
Wanaume Tuko Furesh, Kwani Vipi?
 
Back
Top Bottom