Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote. By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
 
Bima nayokata ni ya laki na kumi na saba ikila mznga ntajua mwenyewe
Wewe ndiyo mwamba Sasa. Nawashangaa Sana Hawa wenye vigari vya milioni 8, 10, 12, 15 wanahangaika kulipa comprehensive. Shubamiti!!
 
Kwa hiyo hivyo vigari vya milioni 15, huwa vinapata ajari baada ya mwaka mmoja?!!
Unakuta umekitumia kigari chako miaka 5 hakijapata ajali unaamua kijitoa kinyemela hiyo bima na kulipa bima ndogo
 
Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuzi kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
 
Janja janja kibao yaani.

Wajanja wa mjini wanalipa comprehensive miaka 2 halafu wanasuka dili na wenye bima. Inaandaliwa ajali halafu mtu anaenda kuvuta mpunga gari mpya inanunuliwa. Wewe wa Namanyele unalipa mpk mwisho.
Hahaha. Umenikumbusha home namanyere
 
Namanyere [emoji1][emoji1]

Ndo upo uko Mkuu?
Janja janja kibao yaani.

Wajanja wa mjini wanalipa comprehensive miaka 2 halafu wanasuka dili na wenye bima. Inaandaliwa ajali halafu mtu anaenda kuvuta mpunga gari mpya inanunuliwa. Wewe wa Namanyele unalipa mpk mwisho.
 
Back
Top Bottom