Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote.

By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Kuna ubaya gani kukata comprehensive insurance kwa gari ya TSH 15m ? bima ni kwa ajili ya tahadhari
 
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote.

By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Sina mengi ya kusema zaidi ya kusema wewe ni mwehu, nilipoona ile mada yako ya kulaumu JPM kujenga daraja la Busisi na hii mada,ndiyo mwisho wangu kukujibu maana sikujua kwenye ile mada kwamba nilimjibu mtoto,hakika akili yako ni ya kitoto sana na utakua mtoto au mtu mjinga mjinga
 
Kwani pesa wanatoa mfukoni kwako? Ila kwenye bima za nyumba uko sahihi. Na sio nyumba tu, mtu ana duka pale kariakoo kaweka mtaji 500 mil hana bima yake ila gari nje ya mil 20 ina bima. Yakitokea majanga ya moto kama juzi hapa tunaanza kulia serikali isaidie. Elimu ya bima naona huku kwetu bado sana. Ifike mahali tuweke sheria ya bima kwemye maeneo ya biashara iwe ni lazima kama ilivyo kwenye vyombo vya usafiri vya moto.
 
Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuzi kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote.

By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Unaongea pumba,unapotosha nimeshuhudia watu zaidi ya kumi wakinufaika na hiyo comprehensive insurance
 
As long as upo rodini mkuu Bima ni muhimu sana kwakuwa hujui kitu gani kutatokea muda gani

Unaweza ukagonga bila kutegemea. Au ukagongwa wewe sasa Bima kama bima ili ikuweke kwenye position nzuri kipindi hiki ni Bima kubwa mkuu tusidanganyane

Yaani tuchukulie scenario ya wewe umegongwa na gari umeumizwa vibaya, huwezi kulipwa km una bima ndogo. Hapa unaweza kupaki chombo usipoangalia.....

Scenario ya pili gari imeibwa. Kama huna bima kubwa imekula kwako

Gari imeungua moto kwa sababu yeyote ile inakula kwako.

Kimsingi bima inatakiwa kubwa kama ni ndogo labda kwa sababu ya Kiuchumi Tu lakini tofauti na HAPO usi entatain Bima ndogo kabisa ni sawa na hamna kitu kwenye Ulinzi wa gari lako
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote.

By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Umenigusa.. 2015, mgeni kabisa kwa magari.. Nikalipa comprehensive.. Nikala mzinga huko maporini; sikupata attention niliyoitegemea toka kwa insurer.. Nikaanza kulipa thord party sijui mnaiita kwa miezi 4, then namalizia..
Hadi sheria ilivyobadilika na kulazimisha kulipa kwa mwaka mwaka
 
Wewe ndiyo mwamba Sasa. Nawashangaa Sana Hawa wenye vigari vya milioni 8, 10, 12, 15 wanahangaika kulipa comprehensive. Shubamiti!!

Umeshawahi kupata janga na huto tugari twa 15 M?

Kuna vitu ni rahisi sana kuongea ikiwa hakijakufika. Haya mambo kila mmoja anapima faida na hasara kisha anafanya anachokiweza.

Binafsi lazima nikate comprehensive, lazima.

Nimewahi kupata majanga kwa gari tatu tofauti tofauti na Bima ilinisaidia sana. Ya kwanza ilikua ajali (2008) bima ilikua 300,000/- waligharamia matengenezo ya takriban 3M.

Ya pili (2015) waliiba vifaa vya gari, BIMA wakalipa. Hii nililipa Bima 280,000/- vifaa walitengeneza kwa 2.7M

Ya tatu mwaka huu, BIMA ilikua 600,000/- vifaa vikaibiwa wakati wa lile wimbi la wizi wa vifaa vya magari, gharama ilienda hadi 6.7 M. Wakatengeneza.

Sasa hapo ukiniletea hadithi za kutokukata comprehensive siwezi kukuelewa kabisa.

Probability ya majanga kati ya gari na nyumba iko tofauti, gari iko barabarani muda mwingi na ajali unaweza sababisha wewe au mwingine. Kulinganisha umuhimu wa bima kati ya gari na nyumba sio sawa.

Lakini ni vizuri kukatia nyumba Bima pia. Ila lazima bima ya gari ikatwe kwanza ndio ya nyimba ifikiriwe.
 
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote.

By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Mkuu gari yangu ina miaka mitano tokea itue from Japan, hadi leo ni mpya utafikiri ndo imetua leo......kwa hiyo haina shida kukata comprehensive kama pesa ipo. Kumbuka ule mwaka wa kwanza ilipofika ilipata ajali iliyogharimu shilingi milioni 3.6 matengenezo, isingekuwa na comprehensive leo hii ningekuwa mgeni wa nani kupata hiyo 3.6.....​
 
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote.

By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Mimi hata hiyo third part yenyewe sikatagi naona wanakula ela ya bure tu, natumia fanfa la elfu kumi tu.

Ila kwa hii system mpya ya kutotumia sticker ndio itabidi December niwape laki na kumi yao wale. Fanfa hakuna tena maana sticker hazitumiki ni system tu.
 
Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuzi kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
Hongera Mkuu ambaye hutumii umeme na wala gari, naona Jf umeingia kwa kutumia boga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kigari chenyewe cha mkopo

Wivu 17:11
 
Back
Top Bottom