Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote.

By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Watu na pesa zao ndugu
 
bora mimi niliyemkatia bima mchepuko wangu na kufunga sensors + bore gauge kwenye kitenesi chake.. naenjoy sana..
 
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote. By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Mimi naona wewe ndio mwendawazimu
 
Mimi hata hiyo third part yenyewe sikatagi naona wanakula ela ya bure tu, natumia fanfa la elfu kumi tu.

Ila kwa hii system mpya ya kutotumia sticker ndio itabidi December niwape laki na kumi yao wale. Fanfa hakuna tena maana sticker hazitumiki ni system tu.
Mkuu hilo fanfa ndio likoje
 
Siku zote nabishana na wewe, nilijua wewe ni mzima
 
Bima ya nyumba haina mashtaka ila Bima ya gari ni lazima...
 
Mkuu hilo fanfa ndio likoje
We mgeni hapa mjini?
Ni sticker ya bima lakini inakuwa haipo kwenye system, zile sticker za bima zinaprintiwa na binadamu siyo malaika.

Ni kama vyeti feki tu, ukikiangalia kwa macho ni chenyewe ila ukienda kwenye mfumo hukioni.

Na wapo mabroker wamewapiga wateja wao kwa mafanfa hayahaya na umekata ofisini kabisa.
 
Bima unachokithamini.
Yaa hapa ndo mantiki ya bima ilipolala, hicho kitu umekipa thamani gani na ukikosa utapata hasara gani.......mfano kama gari imepata ajali kubwa na haifai hadi ununue gari jingine na hiyo pesa huna uwezo wa kuipata ndani ya miaka mitano, je, bora kucheza pata potea au utoe laki nne uwe na bima comprehensive.....akili kumkichwa.​
 
Namanyere [emoji1][emoji1]

Ndo upo uko Mkuu?
Namanyere ni kule mgharibi ya mbali Tanzania mkoa wa Rukwa/Katavi kama sijakosea, ni kilometres chache sana kutoka hapo una kuwa Katavi National Park. ( nimewahi kupita huko kipindi fulani katika harakati za kupambana na maisha) [emoji18][emoji120]
 
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote. By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
Sasa kama huna hela tukusaidieje yaani!
 
Nyie ndio ambao mkishapata ajali mnaanza kuwasumbua watu wa bima wawafanyie michongo gari zenu ziingizwe mlipwe wakat mmekata bima gar ishapata ajali
Na wanawaponza sana hao wafanyakazi
 
Wewe ndiyo mwamba Sasa. Nawashangaa Sana Hawa wenye vigari vya milioni 8, 10, 12, 15 wanahangaika kulipa comprehensive. Shubamiti!!
Labda baada ya Mwaka au miaka miwili wanavitia Moto au wanavitumbikiza mtoni,alafu wanadai bima iwalipe huwezi jua!! Mjini mipango!!
 
We mgeni hapa mjini?
Ni sticker ya bima lakini inakuwa haipo kwenye system, zile sticker za bima zinaprintiwa na binadamu siyo malaika.

Ni kama vyeti feki tu, ukikiangalia kwa macho ni chenyewe ila ukienda kwenye mfumo hukioni.

Na wapo mabroker wamewapiga wateja wao kwa mafanfa hayahaya na umekata ofisini kabisa.
Ahsante. Mi sio mgeni ni vile siwezi jua kila kitu
 
Janja janja kibao yaani.

Wajanja wa mjini wanalipa comprehensive miaka 2 halafu wanasuka dili na wenye bima. Inaandaliwa ajali halafu mtu anaenda kuvuta mpunga gari mpya inanunuliwa. Wewe wa Namanyele unalipa mpaka mwisho.
Namanyele 😀😀 niliendaga 2016 pale St. Bakhita kuangalia kazi, nilikimbia bila kuaga... Aisee Tanzania ni kubwa sana inabidi tuigawanye tupate nchi kama 4 au 5,,, yaani kuna sehemu watu wanaishi utafikiri wako nchi jirani.
 
Umenigusa.. 2015, mgeni kabisa kwa magari.. Nikalipa comprehensive.. Nikala mzinga huko maporini; sikupata attention niliyoitegemea toka kwa insurer.. Nikaanza kulipa thord party sijui mnaiita kwa miezi 4, then namalizia..
Hadi sheria ilivyobadilika na kulazimisha kulipa kwa mwaka mwaka
siyo kila kampuni ya bima inastahili wateja.
 
Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuzi kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
Hao mazinjathropus walikuwa hawajengi vyoo,kwa hiyo hapo unatusaidiaje,tusijenge vyoo tujisaidie vichakani?
 
Back
Top Bottom