Gari ya milioni 12 BIMA yake ni almost laki Tano kwa mwaka. Kuna scenario mbili kugomgwa au kugonga.
Gari yangu ni mil 12 but taa yake ya mbele Moja ni laki saba., Side mirror laki tatu Moja, wind screen laki mbili, n.k So ukipata ajali itakayoumiza uso wambele it's obvious inaweza kukucost Zaidi ya 4m.
Pia Kuna scenario ya pili ya kugonga..hapa unaweza kukugonga mtu mwenye hummer, vx, boda n.k vyote Hivi ni gharama..taa ya nyuma ya vx it's almost 1m.
Kuna gharama zingine ambazo compr. Insurance inacover ambazo 3rd part haziwahusu mfano: gharama za kubeba hilo toka sehemu ya ajali, gharama za matibabu, replacement ya gari iwapo gari imeibiwa, au halitengenezeki n.k