Wewe ndiyo mwamba Sasa. Nawashangaa Sana Hawa wenye vigari vya milioni 8, 10, 12, 15 wanahangaika kulipa comprehensive. Shubamiti!!Bima nayokata ni ya laki na kumi na saba ikila mznga ntajua mwenyewe
Unakuta umekitumia kigari chako miaka 5 hakijapata ajali unaamua kijitoa kinyemela hiyo bima na kulipa bima ndogoKwa hiyo hivyo vigari vya milioni 15, huwa vinapata ajari baada ya mwaka mmoja?!!
Analipishwa Milioni gari yake aliivalue kiasi gani? Au mnachangia tu uzi bila ya uelewa namna gani Bima inafanya kazi.Dah ila kweli hata mi nawazaga hapa kuna dogo analipishwa milioni kwa mwaka comprehensive akati gari yenyewe rav 4 Old. Inasikitisha kwakweli.
Janja janja kibao yaani.Bima yenyewe hadi ulipwe ni hadithi
Mtanzania usipomtukana akili haifungukini ushauri mzuri Ila umetumia lugha ya kuwakera wengine.
Hahaha. Umenikumbusha home namanyereJanja janja kibao yaani.
Wajanja wa mjini wanalipa comprehensive miaka 2 halafu wanasuka dili na wenye bima. Inaandaliwa ajali halafu mtu anaenda kuvuta mpunga gari mpya inanunuliwa. Wewe wa Namanyele unalipa mpk mwisho.
Janja janja kibao yaani.
Wajanja wa mjini wanalipa comprehensive miaka 2 halafu wanasuka dili na wenye bima. Inaandaliwa ajali halafu mtu anaenda kuvuta mpunga gari mpya inanunuliwa. Wewe wa Namanyele unalipa mpk mwisho.
Mkuu na we umewahi kufika namanyere?Namanyere [emoji1][emoji1]
Ndo upo uko Mkuu?