Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

Kwahyo compresiv insurance ukikat ata kwa gari ya million 9 inabd ulipe million kwa mwaka.
 
Wapanda Dala Dala Wabobezi huu Uzi hautuhusu tafadhali.

niko zangu mataa ya chang'ombe hapa dakika ni ya 20 traffic anamvuta bibi yake sijui!!!

yaani ninechoka mwili na akili,joto kali na harufu za ajabu ajabu ndani ya eicher la masaki.
 
ukweli mtupu ….. unakata mara ya kwanza mara ya pili na kuendlea unarudi ya kawaida [emoji38]. mkuu umeshusha nyundo [emoji375] ya kichwa watu wanahaha,wanatafutana mi nimekuelewa point yako …..[emoji1666]
 
Sina hakika kama unafaham maana ya bima lakini pia nina wasiwasi kama umeshawahi kumiliki hata Bajaj uliyo inunua kwa hela yako; na maanisha hufaham gharama zozote za matengenezo ya gari ikapata ajali ndio sababu una andika vitu usivyo vijua.
Kumbuka Bima kwa gari ya Mil 10 ni kama laki nne kwa mwaka hivi; ungejua gharama za matengenezo ya gari , ungekuwa unaelewa kwa nini watu wanashauriwa wakate comprehensive
Lakini pia ungejua maana ya Bima na risk analysis ungejua kwa nini kwa umuhimu gari ndio inatakiwa ikatiwe Bima kabla ya nyumba ila kama mtu anajiweza, ni vizuri akatie gari na nyumba
Elimu ya Bima haisomwi mtaani, Uliza wanao elewa au uende darasani!
 
ukweli mtupu ….. unakata mara ya kwanza mara ya pili na kuendlea unarudi ya kawaida [emoji38]. mkuu umeshusha nyundo [emoji375] ya kichwa watu wanahaha,wanatafutana mi nimekuelewa point yako …..[emoji1666]
Asante Sana mkuu
 
Kweli hasara
 
Elimu ya Bima haisomwi mtaani, Uliza wanao elewa au uende darasani!
Elimu hii yw bima imeeleweka kwenye upande wa magari tu? Yaani mtu huyo huyo anayemilki duka la milioni 200 Kariakoo hajalikatia bima lkn kivari Cha milioni 20 amekata comprehensive unaona ni sawa tu?
 
Jana wamenichorea mkeka sina bima mwaka mzima huu na ruti napiga kama kawa mbeya dom dar kg kote nimechafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…