Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Ndiyo maana nawaonya vijana wanaotaka kuoa. Maana wao wanakuwa innocent ktk hili. Mwanamke ndiye anatembea na mume wa mtu. Kijana wa watu unakuta kutokana na ugumu wa maisha mpk umri huo katembea na visichana 2tu ambavyo bado ni pure
hivyo visichana viwili alivyotembea navyo akishavitoa bikra , purity yao inaendelea kuwepo ama...? Yaani hata hujielew unacho jaribu kueleza na maelezo yako... kanywe maji kwanza.
 
well stated...
 
Mkuu acheni hii kitu wanasaikolojia wanaita projection (kusukuma tatizo kwa jambo/kitu au mtu mwingine) kisa tu umekosa hoja. Pinga hoja kwa kutumia hoja
very true, he is trying to project his stupid opinions to others so he can justify his mental insanity...and make himself feel good about it. very narrow minded creature!!!!
 
Ng'ombe hazeeki maini. Man anaoa hata akiwa na miaka 50 na anazaa.
hehehe, wakat huyo ng`ombe akisubiri hyo miaka 50, anakuwa napiga nyeto tuu o anatumia matundu ya watoto wa kike ambao anawaacha solemba akisha kojoa?🙄
 
Kwani umefanywaje jaman mbona umewaka sana pole mwaya

Mbona wametuoa tu na miaka yetu 28yrs Mkuu
 
Sio kweli kabisa. Tena wenye 25+ ndio wenye mafanikio makubwa kwani wameshajifunza vya kutosha-experience
 
We unachekesha sio. Wote tena tema mate mbal hauna dada ndugu watoto binamu et 25 wasiolewe unachekesha
 
kwani ulianbiwa ukioa mwanamke ambae hana dhambi ndo unaenda peponi mojakwa moja. usiwadanganye wenzako. watu wana miaka 35 na bado ni bikra.
Mmh! Superwoman hapo umedanganya. Miaka 35 bikra hakuna kabisa. Labda ile bikra ya shabu na mkojo wa tembo
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…