Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu mchezo na kipato unaingilianaje???Wanaume huchelewa sana kuanza mchezo huu. Wengi wanakuwa hawajaanza kuwa na vipato vyao
hivyo visichana viwili alivyotembea navyo akishavitoa bikra , purity yao inaendelea kuwepo ama...? Yaani hata hujielew unacho jaribu kueleza na maelezo yako... kanywe maji kwanza.Ndiyo maana nawaonya vijana wanaotaka kuoa. Maana wao wanakuwa innocent ktk hili. Mwanamke ndiye anatembea na mume wa mtu. Kijana wa watu unakuta kutokana na ugumu wa maisha mpk umri huo katembea na visichana 2tu ambavyo bado ni pure
well stated...Mtoa mada ni vema ukawa na heshima na hawa dada zetu (wanawake). Unajua miaka hii ni tofauti sana na zamani.
Downfall ya kuchelewa kuolewa kwa wanawake wengi kwa sasa ni elimu, na hilo kwa mwanaume muelewa wala haimpi shida maana anajua umuhimu wa elimu. Mfano, wapo wadada ambao hawajafanya hayo mambo unayoyasema hapo juu na wanajiheshimu mno na hata jamii inayowazunguka pia inawaheshimu kwa sababu wamekulia malezi mazuri tu yenye maadili kifamilia na kidini.
Sasa kuwahukumu kwa kusema 95% wapo hivyo ni kuwakosea heshima sana. Wanaume tuwe na busara jamani....kuwa mwanamke sio dhambi, kwa sababu bila mwanamke wewe huwezi kuwa mwanaume; HIVYO [HASHTAG]#RESPECT[/HASHTAG] TO OUR SISTERS/WOMEN IS VERY IMPORTANT# Tusipende kusemea jambo kwa ujumla lakini unaweza sema tu BAADHI YA WANAWAKE WAPO HIVYO hapo utaeleweka ndugu.
Kuolewa pia ni WITO wa Mungu. Wapo wanawake wazuri sana ambao wakiwa kwa miaka chini ya 25 wanaolewa lakini baada ya miezi muda mfupi ndoa inavunjika. Kinyume chake sasa, wapo wadada/wanawake ambao wana zaidi ya miaka 25 na hasa wadada/wanawake wenye umri wa miaka 30 na kuendelea ikija wakabahatika kupata MUME (note: sio mwanaume) hutulia sana na huheshimu na kupenda familia yake na wengi hubarikiwa sana na Mungu.
Mwisho, yote hayo uliyoongea chanzo chake ni wanaume kulaghai wanawake na mwisho wa siku baada ya kuwaharibu ndio hujiona vidume halafu wanawakimbia hao wadada, sasa je WAJIOE WENYEWE?
Nawaheshimuni sana wadada hata kama upo above 25 au above 30 don't give up! Amini Mungu ni mwema kwako na usikate tamaa kumuomba kila siku ili upate mume bora na sio bora mwanaume.
Cheers !!
hapo chacha.... kama hawa kwa vid.Ikiwa wanaanza ngono wakiwa na miaka 15 anafkisha 25 usafi wake wa kufaa kuolewa unatokea wap
very true, he is trying to project his stupid opinions to others so he can justify his mental insanity...and make himself feel good about it. very narrow minded creature!!!!Mkuu acheni hii kitu wanasaikolojia wanaita projection (kusukuma tatizo kwa jambo/kitu au mtu mwingine) kisa tu umekosa hoja. Pinga hoja kwa kutumia hoja
hehehe, wakat huyo ng`ombe akisubiri hyo miaka 50, anakuwa napiga nyeto tuu o anatumia matundu ya watoto wa kike ambao anawaacha solemba akisha kojoa?🙄Ng'ombe hazeeki maini. Man anaoa hata akiwa na miaka 50 na anazaa.
Unapenda mada za mapenz hatariSio kuchapiwa tu maisha yamempiga anasingizia wasichana hahaha
Ni mimi hasa!Wewe wasema.
Mmh! Superwoman hapo umedanganya. Miaka 35 bikra hakuna kabisa. Labda ile bikra ya shabu na mkojo wa tembokwani ulianbiwa ukioa mwanamke ambae hana dhambi ndo unaenda peponi mojakwa moja. usiwadanganye wenzako. watu wana miaka 35 na bado ni bikra.