Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Wanaume tusiogope jukumu letu la kulea na kutunza familia........haya ya haki sawa yanajulikana ila kwakua wanaume tumeyakubali basi tusilalame. Ila zinaa ni deni!!!!!
 
Mkuu na tamaa ya mabinti pia inachangia. Hawataki kuishi kulingana na kipato cha familia. wanaishi maisha ya maigizo
 
Huyo amevurugwa tu...kwanza binti wa 25 and above ndo ameshakomaa vizuri kwa ndoa below hapo wachache sana wanajielewa bado wanafikiria kubadilisha wanaume
 
Kama ni mchakato basi usimhukumu mtu kwa umri wake
Mkuu unaoa mtu kizazi kishasukwasukwa na vyuma vya madaktari ktk harakati za kumtoa mimba 3 za kabla ya ndoa. Hela yote mnayotafuta miaka 5 ya mwanzo wa ndoa yenu inaishia Kusafisha kizazi. hujachelewa tu kupiga hatua hapo?
 
Huyo amevurugwa tu...kwanza binti wa 25 and above ndo ameshakomaa vizuri kwa ndoa below hapo wachache sana wanajielewa bado wanafikiria kubadilisha wanaume
Kwa kauli hiyo kuwa below 25 anafikiria kubadilisha wanaume, unakubaliana nami kuwa anayekuwa above 25 amebadilisha sana wanaume mpk kaharibikiwa.
 
Hoya yako,nyepesi sana.mm kwa uzoefu niliopitia wa kimahusiano na wanawake tofauti,wasichana wote waliokuwa chini ya miaka 25,walikua wanapenda starehe tu na kufavaa ili waonekane,baada ya kuanza kutembea na wanawake walioanzia miaka 30 na kuendelea ,hawa wako makin sana na maisha na wanafikiria maendeleo,sio starehe na kuvaa.kwahiyo,naheshimu hisia zako,ila sikubalian na hoja yako.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Ila wanawake mwombeni radhi huyu jamaa maana kuna mwenzenu kamvuruga kisaikolojia
Mkuu acheni hii kitu wanasaikolojia wanaita projection (kusukuma tatizo kwa jambo/kitu au mtu mwingine) kisa tu umekosa hoja. Pinga hoja kwa kutumia hoja
 
Mkuu unaoa mtu kizazi kishasukwasukwa na vyuma vya madaktari ktk harakati za kumtoa mimba 3 za kabla ya ndoa. Hela yote mnayotafuta miaka 5 ya mwanzo wa ndoa yenu inaishia Kusafisha kizazi. hujachelewa tu kupiga hatua hapo?
Mkuu mi najua ukioa mwanamke mwenye umri mdogo ndo huwezi kufanikiwa maana mawazo yake yanakuwa hayaja komaa mda wote anawaza kusipendi lakini ukioa mwenye umri mkubwa atakuwa na uwezo mkubwa wa kukushauri na kujenga maisha
 
Ndoa za wazazi wetu zilidumu kwa kiasi kikubwa kwa mwanamke ndoa ilikuwa ajira na wazazi wetu wengi mishahara ya enzi za ujamaa hawakuwa na michepuko au pesa ya kwenda bar kila siku.
Kifupi wote wawili walijiheshimu na uaminifu ulikuwepo. Pesa zilikuwepo ila hazikupewa kipaumbele kama ilivyo sasa kwa dada zetu mkiona mwanaume mwenye pesa nguo ya ndani inavuka yenyewe.
 
Umesema kweli kbs, hawa dada zetu umurihuo hakuna purukushani wameacha nyuma, ukija kumuoa na kuanza kumheshimu anakuona lofa tu maana kuna uchafu ambao huthubutu kumfanyia kumbe ndio tendo pendwa kwake mfno 0713
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…