Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Hebu pia zungumzia kuhusiana na wanaume wengine wahuni wanaumiza mioyo ya wanawake wao wa zamani je hao pia Hawana laana ya machozi ya wanawake waliolia juu yao? Halafu wanakimbilia kuoa na wanasema wanataka wife material shenzi kabisa ,,,jamani tusiwasakame Sana dada zetu nasi pia tuangalie matatizo yetu
 
Wakati mwingine tuwe fair. Hao wanawake unaowasema ni dada zetu ni ndg zetu. Kwanini wasiolewe ?? Wengine wamejitunza vizuri. Wengine tunawaharibu sisi wanaume. Unamtongoza miezi kadhaa, anajiachia akidhani utaoa. Unakula mzigo weee kisha unamchoka unamtema. Hivi hapo nani mkosaji ?? Tuwahurumie dada zetu, tunawadanganya sana. Wanapenda kuolewa sisi priorities zetu ni kuwagonga tu. Tubadilike wanaume
 
Kuoa na kuolewa hakuna kanuni.mwana mke anatengenezwa Kulingana na itikad yako ,ukioa mwana mke yeyote jitahid umfanye njinsi ulivyo we we ili mfanane.
 
Laana zote ameziondoa Mwana wa Mungu pale msalabani.

Hakuna anaweza kumpangia mtu umri wa kuoa au kuolewa, na kama unaamini katika laana jua hata wanaume nao pia hubeba laana hizo kwenye miili ya wanaotembea nao.

Wakati mwingine unapojaribu kumnyooshea mtu kidole tazama vinavyokurudia
 
Wakati mwingine tuwe fair. Hao wanawake unaowasema ni dada zetu ni ndg zetu. Kwanini wasiolewe ?? Wengine wamejitunza vizuri. Wengine tunawaharibu sisi wanaume. Unamtongoza miezi kadhaa, anajiachia akidhani utaoa. Unakula mzigo weee kisha unamchoka unamtema. Hivi hapo nani mkosaji ?? Tuwahurumie dada zetu, tunawadanganya sana. Wanapenda kuolewa sisi priorities zetu ni kuwagonga tu. Tubadilike wanaume
Cha muhimu wazibanie k zao. Mbona zamani iliwezekana?. Zamani mzigo ulikuwa hautoki mpk umefika kwa wazazi. Siku hizi K inatumika kama chambo kuvutia wanaume. Wanaume wanaonja na kusepa .
 
Laana zote ameziondoa Mwana wa Mungu pale msalabani.

Hakuna anaweza kumpangia mtu umri wa kuoa au kuolewa, na kama unaamini katika laana jua hata wanaume nao pia hubeba laana hizo kwenye miili ya wanaotembea nao.

Wakati mwingine unapojaribu kumnyooshea mtu kidole tazama vinavyokurudia
Ndiyo maana nawaonya vijana wanaotaka kuoa. Maana wao wanakuwa innocent ktk hili. Mwanamke ndiye anatembea na mume wa mtu. Kijana wa watu unakuta kutokana na ugumu wa maisha mpk umri huo katembea na visichana 2tu ambavyo bado ni pure
 
Haki sawa ndo imekuwa sumu ya ndoa siku hizi.............haki sawa zinawajaza wanawake viburi hatimaye wanashindwa ku-handle ndoa zao mwisho wa siku ndoa inabomoka....kusema haki sawa ni sawa na kusema mwanamke na mwanaume ni sawa...vivyo hivyo ni sawa na kusema mafahari wawili waishi zizi moja kitu ambacho ni ngumu kutokea.......mwanamke ni lazima awe chini ya mwanaume...na mwanaume lazima atimize wajibu wake kama mwanaume kinyume na hapo hakuna NDOA...
 
Mkuu umeandika kwa hasira saaana,.ungepunguza jazba kwanza,kha!!!

Hahahahaa daaah!!!!
Uwasilishaji wangu mbovu tu mkuu. Chukueni mazuri, jazba ziacheni
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom