Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Mimi naongezea heri uoe mwanamke aliezaa watoto watatu kuliko uoe mwanamke aliewahi kutoa mimba angalau moja huyo ni mkosi na gundu. Nasubiri mapovu....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si mpaka nimpate wa kunioa? Nioe wewe ili niwe mama bora....[emoji12] [emoji12] [emoji12]

External forces has nothing to do with my life. So i will marry when i want!
Aya Nakuoa. Be true to yourself .external factors have something in your life Thad
 
Ingawa sio wanawake wote walio ktk umri huo wapo hivyo alivyosema mleta mada lakini asilimia kubwa wapo hivyo. Jamani ukweli ni mchungu sana lakini huyu chizi bin mwendawazimu bin kichaa kaongea ukweli tupu. Mleta mada nisamehe kwa kukuita majina mabaya na yasiyo kustahili. Dada zangu naomba mnisamehe lakini huu ndio ukweli. Najua humu wanaume wanaovizia wadada JF, au wale wenye wachumba, au walioa wanawake wa umri huo watamshambulia sana mleta mada na yeyeto anaye muunga mkono lakini hii haitabadili ukweli huu. Narudia tena naomba msamaha kwa wanawake walioguswa na mada hii.
mkuu asante kwa kunilinda
 
Mimi naongezea heri uoe mwanamke aliezaa watoto watatu kuliko uoe mwanamke aliewahi kutoa mimba angalau moja huyo ni mkosi na gundu. Nasubiri mapovu....
Asante kwa kutia nyama kwenye uzi. Nakubaliana na wewe
 
Wachache sana wanaoangukia nje ya hoja yangu. Ndiyo hao 5% niliyowatenga.

Fika mashuleni na vyuoni uone jinsi wanafunzi wa kike wanavyobebwa na mibaba. Hutoamini meno yako. Unaweza ukalia na ukagoma kumlipia mwnao ada. nayaongea haya kwa kuyaona. Kwenye mikusanyiko wadada wanakuwa ni vitoweo. Dunia Imevaa chupi
Sio wote man. Darasa linaweza kuwa na wasichana 50, af 10 ndo wanachukuliwa na vibabu nyie mnageneralize wote. Wapo waliotulia, ni wengi zaid sema huwajui coz huna time nao, umekomaa na vicheche tu. Chuo na mimi nimepita
 
Trump anajisemeaga 'wrong'kisha anacheki upepo mbele 'next'.
 
Kuoa age mate ni kujitafutia matatizo tu mbeleni uko! Either oa msichana uliyemzidi zaidi ya miaka saba au akuzidi yeye!
 
Wachache sana wanaoangukia nje ya hoja yangu. Ndiyo hao 5% niliyowatenga.

Fika mashuleni na vyuoni uone jinsi wanafunzi wa kike wanavyobebwa na mibaba. Hutoamini meno yako. Unaweza ukalia na ukagoma kumlipia mwnao ada. nayaongea haya kwa kuyaona. Kwenye mikusanyiko wadada wanakuwa ni vitoweo. Dunia Imevaa chupi
Utakuwa sio Mkristo ndio maana unakremisha dhambi wewe!
Basi vijijini wangekuwa matajiri sana maana wanaoa 15yrs girls.
 
sio wote ndg wengine wamejitunza vizr sana wanasubir wapate mume bora wasonge mbele;wadada wanaofanya machaf wapo n wazur pia wapo wengi tu
 
Sio wote man. Darasa linaweza kuwa na wasichana 50, af 10 ndo wanachukuliwa na vibabu nyie mnageneralize wote. Wapo waliotulia, ni wengi zaid sema huwajui coz huna time nao, umekomaa na vicheche tu. Chuo na mimi nimepita
Nashangaa anazani hatujapita vyuoni!..
 
Back
Top Bottom