Umeona nini kwenye maziko ya yule tajiri wa Kibaniani, Patel tokea mwanzo hadi mwisho?

Nashukuru corona inaua "Binadamu", haiui "watu"
 
mbona hatupni picha wala video
 
Hivi zile video za Dada Mange za corona hazipo tena sasa hivi?
 
Kama mask ingekuwa ndo dawa ya Corona , basi ujerumani na marekani WANGEPONA.

hivi unadhani hyo barakoa yako ndo ITAKULINDA NA CORONA?

hao wanaokufa na Corona HAWAZIJUI HIZO BARAKOA WAVAE WAEPUKANE NA CORONA?

AKILI SIO PAMBO ZITUMIE.
Hata UKIMWI kuna ambao walikuwa wanasema condom hazizuii chochote na wengine walienda mbali zaidi na kusema hizo condom zimewekwa virusi... Hivi udumavu wa akili husababishwa na nini bandugu???
 
Lete namba za Corona ulaya na marekani.na wao hawatumii mask?.
Hata UKIMWI kuna ambao walikuwa wanasema condom hazizuii chochote na wengine walienda mbali zaidi na kusema hizo condom zimewekwa virusi... Hivi udumavu wa akili husababishwa na nini bandugu???
 
Futa lipo Mkuu ,leo facebook nimeona post za vifo kama vitatu hivi vya watu wa kawaida!! FUTA LIPO tunapigwa na PHASE II.

Nilishaanza kula ndimu/tangawizi/maji kwa wingi na mazoezi.
Nyie mnaokula kwa kuunga unga mtapata shida,tumieni as routine,binafsi kutumia limao au tangawizi ni kitu changu cha miaka plus asali na matunda na nasisitiza kwa familia
 
Mungu ni mwema atuepushie na gonjwa hili tusifanye mzaha Mungu katuepusha tumshukuru
 
Bado unaamini yule kimelea hayupo Tanzania? Na hivi karibuni kumeongezeka vifo vya wazee wazee na tunaopata matangazo tu ni hawa matajiri au vingunge na walio kwenye jamii maarufu kama wasanii, tulio wengi pangu pakavu hutusikiki.
Mask zinamatumizi mengi: wengine huenda walivaa ili kupunguza kunusa harufu ya kile kilichochomwa. RIP PATEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…