Kifo cha Corona kinakuja na bango kwamba "MIE CORONAAAAA"??Acha unoko wewe, kwenu kuna mtu kafa na corona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo cha Corona kinakuja na bango kwamba "MIE CORONAAAAA"??Acha unoko wewe, kwenu kuna mtu kafa na corona?
Kwanini hukufa tuPunguza ujinga basi mjinga . ugonjwa upo. Mie ndo ntaachiwa hospital punde. Chukueni hatua nimepigania uhai for 3 weeks
Una mawazo kimarioo sanaWaliwaahidi millioni 50 kila kijiji hamkuziona; wakawaambia watawanunulia NOAH kila mmoja wenu wakilipwa hela za makinikia nazo HOLAAAA!!! Bado mnawaamini tu!!! Mtakuwa mataahira.
Gelofulendi ofu my hati, hivi nchi nyingine wameshindwa kweli kuyafanya haya?1. Tafuna tangawizi kila siku asubuhi na jioni.
2. Kunywa maji ya uvuguvugu yaliyotiwa binzari mbichi (turmeric) ama ukikosa tumia ya unga pamoja na mdalasini wa magome wa India, kila asubuhi na jioni.
3. Kula matunda ya kutosha kutwa nzima, ikiwezekana mlo mmoja kati ya milo yako 3 ya siku uwe matunda tu.
4. Kunywa maji ya kutosha walau lita 2 hadi 3 kwa siku, vyema yakawa ya vuguvugu.
5. Fanya shughuli ambayo itakutoa majasho kila siku walau kwa dakika 20 hadi 30.
Afya njema ni maamuzi ya mtu binafsi.
Kasinde Matata.
Punguza ujinga basi mjinga . ugonjwa upo. Mie ndo ntaachiwa hospital punde. Chukueni hatua nimepigania uhai for 3 weeks
Mkuu mwana uvccm huyo hawezi kukuelewa mpaka apitie ubongo aliouacha pale Lumumba.Umejiamini sana mpaka baba yako unamuita mpumbavu,sawa mwanangu ila kutahadharisha kupo,halafu tuna misemo mingi sana,ya kilugha kama kinga ni bora kuliko tiba.
Jihadhari kabla ya athari. Kama haitoshi mliangaliza vizuri kuna maji chiririka na sanitaizha kila sehemu ya kuingilia,nilishangaa sana ,nikaona sio bure.
Na nikifikiri misemo yetu mingine kuitamka yataka ini mfano mficha uchi hazai,je tunaficha ,kubwa ninaloliona Serikali yetu haijamzuia mtu kuchukua tahadhari wala kupiga marufuku kuvaa barakoa.
Hili gonjwa lipo sasa mpaka kufikia waizraeli kuchukuwa kinga basi ujue mdude upo. Msemo wetu ule wa kama halipo linjiani linakuja.
Tuzidishe kujifukiza na vile vibanda virudi wapita njia tusioweza kwenda south tubaki hapapa kando ya equator na dawazetu asilia,japo mtu akienda sokoni na vihela vyake anaweza kutumia.
Kuna kitu nimesikia si vibaya nayo ni kunywa chai iliyomoto sana iwe ni kawaida tena mara nyingi unazoweza na kabla hujakunywa basi vuta ule mvuke kiasi cha umoto unaoweza kuuhimili.
Hukusikia iliondoka kwa maombi?Wapi uliambiwa hakuna corona?
Corona ipo na tunaishi nayo kama ambavyo tunaishi na malaria. Ukijichnganya inakuondoa.
Unavyochukua tahadhari kwa malaria....chukua tahadhari hivyo hivyo kwa corona.
Unavyoviandija vibafanana na jina lako . kweli we jinga
Nani alikwambia katika Nchi hizo kila mtu anavaa barakoa? Kuna kundi kubwa la watu katika Nchi zote hizo ambao wanapinga kuvaa barakoa wakidai uhuru wao wa kuamua na wengi wameupata ugonjwa na wengi wao wamekufa.
Tusibishe kitu ambacho kimefanyiwa utafiti na wataalamu na kuonyesha kinasaidia kupunguza maambukizi ya COVID19 kama kikivaliwa vile inavyotakiwa.
Kama wamekufa kwenye familia yenu pole sana!Kifo cha Corona kinakuja na bango kwamba "MIE CORONAAAAA"??
na wewe kwa akili zako unaamini barakoa zinazuia Corona?
Unataka kusema watu wote walioumwa Corona na kufs walikuwa hawavai mask?.
[emoji23]Acha unoko wewe, kwenu kuna mtu kafa na corona?
Acha Mambo ya you tube.
Tumia akili zako.unadhani watu wanaopata Corona na kufa walikuwa hawatumii mask?
Acha ubishi wa kitoto! Unataka kubishia watu waliofanya utafiti kwamba masks [emoji40] zinapunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya COVID19?
If 95 percent of people wear cloth masks when within 6 feet of other people in public, it will reduce COVID-19 transmission by at least 30 percent. So if every infected person transmits the virus to 30 percent fewer people, it improves the chances of subduing COVID-19’s spread in the United States.