T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Sawa tunakubali lipo lakini tutaishi nalo kiakiliUmejiamini sana mpaka baba yako unamuita mpumbavu,sawa mwanangu ila kutahadharisha kupo,halafu tuna misemo mingi sana,ya kilugha kama kinga ni bora kuliko tiba.
Jihadhari kabla ya athari. Kama haitoshi mliangaliza vizuri kuna maji chiririka na sanitaizha kila sehemu ya kuingilia,nilishangaa sana ,nikaona sio bure.
Na nikifikiri misemo yetu mingine kuitamka yataka ini mfano mficha uchi hazai,je tunaficha ,kubwa ninaloliona Serikali yetu haijamzuia mtu kuchukua tahadhari wala kupiga marufuku kuvaa barakoa.
Hili gonjwa lipo sasa mpaka kufikia waizraeli kuchukuwa kinga basi ujue mdude upo. Msemo wetu ule wa kama halipo linjiani linakuja.
Tuzidishe kujifukiza na vile vibanda virudi wapita njia tusioweza kwenda south tubaki hapapa kando ya equator na dawazetu asilia,japo mtu akienda sokoni na vihela vyake anaweza kutumia.
Kuna kitu nimesikia si vibaya nayo ni kunywa chai iliyomoto sana iwe ni kawaida tena mara nyingi unazoweza na kabla hujakunywa basi vuta ule mvuke kiasi cha umoto unaoweza kuuhimili.
Anza kuifungia familia yako kwani umezuiwa na nani? Anza kuwa mfano