Kwa kweli.Unaongelea mil 10? Wengine hata kesi ya laki hatutoboi!
Uzuri wake matatizo huwa yanakuja proportional na uwezo wako!
Inategemea unamzungumzia nani, wengine hawafiki thamani ya milion bro.Kwa maisha standard ya sasa unatakiwa kuwa na access ya shilingi milioni 80 mpaka 100 ya haraka wakati wowote. Bila kumsumbua mtu, kuomba mkopo, wala kuharibu biashara zako zingine.
Kila sehemu yenye mkwamo kuna mahali pa kutokea, hata iweje.Kwa kweli.
Mungu Hakupi kilema Akakukosesha na mwendo 😃
Sijasema wanafika, nimesema kwa maisha ya standard ndiyo unatakiwa kuwa hivyo.Inategemea unamzungumzia nani, wengine hawafiki thamani ya milion bro.
Sure, lakini pia hata hao walio fika kwenye standard bado mfumo unawabana, najua unajua maisha ya kiafrika haswa huku kwetu.Sijasema wanafika, nimesema kwa maisha ya standard ndiyo unatakiwa kuwa hivyo.
Sasa wengi bado wanakufa kwa kipindupindu Simiyu huko Meatu, maana yake wanakula au kunywa mavi bado, hayo si maisha ya standard.
Basi kwa hapa bongo hata watumishi wa serikali wa kada za chini hawajafikia standard life.Kwa maisha standard ya sasa unatakiwa kuwa na access ya shilingi milioni 80 mpaka 100 ya haraka wakati wowote. Bila kumsumbua mtu, kuomba mkopo, wala kuharibu biashara zako zingine.
Boss kaongeaKwa maisha standard ya sasa unatakiwa kuwa na access ya shilingi milioni 80 mpaka 100 ya haraka wakati wowote. Bila kumsumbua mtu, kuomba mkopo, wala kuharibu biashara zako zingine.
UTT ipoSio ndani ya saa labda mwaka ndo naweza kupata milioni kimi
Utt watanipaje helaUTT ipo