Umepatwa na Emergency ya milioni 10, Unatoboa?

Umepatwa na Emergency ya milioni 10, Unatoboa?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Umepatwa na emergence inayohiitaji pesa cash milioni 10 ndani ya lisaa, sio vifaa vya ujenzi vya nyumba unayojenga, Gari, kiwanja, shamba, mzigo wa stoo, n.k.

Yaweza kuwa:
1. Tatizo la kiafya (Kufa au kupona)

2. Mapolisi (Ujichomoe haraka au kifungo cha maisha).

3. Mtoto katekwa (wakivuka mpaka wa nchi ndo basi tena)

n.k.
 
Sijasema wanafika, nimesema kwa maisha ya standard ndiyo unatakiwa kuwa hivyo.

Sasa wengi bado wanakufa kwa kipindupindu Simiyu huko Meatu, maana yake wanakula au kunywa mavi bado, hayo si maisha ya standard.
Sure, lakini pia hata hao walio fika kwenye standard bado mfumo unawabana, najua unajua maisha ya kiafrika haswa huku kwetu.
 
Kwa maisha standard ya sasa unatakiwa kuwa na access ya shilingi milioni 80 mpaka 100 ya haraka wakati wowote. Bila kumsumbua mtu, kuomba mkopo, wala kuharibu biashara zako zingine.
Basi kwa hapa bongo hata watumishi wa serikali wa kada za chini hawajafikia standard life.
Wengi kipato wanachopata ni kwa ajili ya kuendeshea maisha tu.
Kipindi kile cha korona kilituvua nguo kwamba sekta binafsi hawawezi kusavaivu kwa miezi miwili kutegemea mshahara.
 
Hakuna jaribu apitialo binadamu lililo nje ya uwezo wake..litasumbua lakin atatoboa labda iweje sijui..ila ukisema a 10 million need..means uwezekano unaweza kuwepo kwa means itayojitokeza...kama hufaniniii na hiyo amount hilo jaribu sio huwezi lipata..sababu ukilipata hutoboi
 
Back
Top Bottom