Umepumzika lini mara ya mwisho? Ukaona "hapa kweli nimehema"

Mwezeshaji1

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2023
Posts
237
Reaction score
565
Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani"

Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye "hakuna jinsi" kwa muda usio na jina, na huu mwezi uliopita ilikuwa kama kupita kwenye tanuri.

Kichwa kinachoka, mwili usiseme...hisia ziko vyovyote.

Namshukuru Mungu kuhema.

Shule nziiiiiito NILIYOPITIA imefika tamati, hata sasa HAKIKA ni Bwana ametusaidia🙌🏿!
 
November 2025
Namshukuru Mungu kuhema.
Shule nziiiiiito NILIYOPITIA imefika tamati, hata sasa HAKIKA ni Bwana ametusaidia🙌🏿!
Pole kwa uliyoyapitia!
 
Jana usiku na limshangazi au nikiwepo hapa 👎
1773928555502.jpg
 
Back
Top Bottom