Mwezeshaji1
JF-Expert Member
- Sep 26, 2023
- 237
- 565
November 2025Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani"
Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye "hakuna jinsi" kwa muda usio na jina, na huu mwezi uliopita ilikuwa kama kupita kwenye tanuri.
Kichwa kinachoka, mwili usiseme...hisia ziko vyovyote.
Pole kwa uliyoyapitia!Namshukuru Mungu kuhema.
Shule nziiiiiito NILIYOPITIA imefika tamati, hata sasa HAKIKA ni Bwana ametusaidia🙌🏿!
wew ndo malaika gabriel wa,ukweli ukweli? nashida na wew ya muhimu🙏🏾🧎🏾♂️
wew ndo malaika gabriel wa,ukweli ukweli? nashida na wew ya muhimu
sema kwanza kama wew ndo malaika Gabriel yule wa mbinguniKaribu
Aseme tujiandae kupaa 🦋sema kwanza kama wew ndo malaika Gabriel yule wa mbinguni
Wa mbingu ya mbingu.sema kwanza kama wew ndo malaika Gabriel yule wa mbinguni
Shukrani, kwakweli nimetua ZIGONovember 2025
Pole kwa uliyoyapitia!
🤣🤣🤣Jana usiku na limshangazi au nikiwepo hapa 👎 View attachment 3560149
Doh! Basi muda wa Baa urudi home kulala aseeLindo, kibaruani, na baani. Upuuzi mtupu, hakuna kupumzika
Ewaaa, huu huwa wakati mzuri KUHEMANilipomaliza mtihani NECTA plus UE
Baada ya kupumzika nilivyataraji itakua bhna sivyo ilivyokua mpaka jitihada tofautiEwaaa, huu huwa wakati mzuri KUHEMA
Shukrani, utukufu kwa BwanaHongera sana
Matarajio yamekuwa ndivyo sivyo?Baada ya kupumzika nilivyataraji itakua bhna sivyo ilivyokua mpaka jitihada tofauti