Counterbook
Senior Member
- Jun 14, 2020
- 159
- 71
Kwema!
Mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vizuri anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi kupata utotoni; kama mzazi alikuwa sahihi kwa nini? Kama hakuwa sahihi kwa nini? Huelewi bado unamuelewaje?
Nakazia: Tuwapikie watoto chakula cha kutosha