Umeshagundua sababu za kuchapwa utotoni kula kwa watu?

Umeshagundua sababu za kuchapwa utotoni kula kwa watu?

Kwa wale wenye lugha isipendeza especially kwa mtoa uzi kimya kimya geuka upo Uzi wa kuchati kilugha then pita nao easy mbona,
 
Hii ilikuwa inahusishwa na:-
  • sana na mambo ya uchawi
  • wazazi kuwa na wasiwasi na vyakula vya huko nje (kuhisi havina ubora unaostahili ukilinganisha na chakula cha nyumban)
  • Kutuepusha na mazaea mabaya kwenye miji ya watu
  • Hofu ya kuja kuwa waroho
Ila ukwel ni kuwa mtoto huwa hali kushiba kama mtu mzima, mara nyingi yeye ufata mkumbo wa watoto(hasa best friends) weke.
 
Kwa wale wenye lugha isipendeza especially kwa mtoa uzi kimya kimya geuka upo Uzi wa kuchati kilugha then pita nao easy mbona,
Saa hizi watu wameshatia vyombo vichwani.Epuka kuwauliza maswali tata au yasiyotafsirika kwa wepesi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hii lugha gani ndugu mteja au ndio wageni wameshakuja
Yaani,umeniweza!Ushawahi sikiza ule wimbo wa "Mtoto wa geti kali"?Mtu anakuwa domo zege,na kumuomba mtoto mkare wakale ugali na kachumbari!🤔🤔🤔🤔
 
Yaani,umeniweza!Ushawahi sikiza ule wimbo wa "Mtoto wa geti kali"?Mtu anakuwa domo zege,na kumuomba mtoto mkare wakale ugali na kachumbari![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliusikia zamani mashairi siyakumbuki...sasa biashara yetu tuendelee kesho leo nipumzike kidogo
 
Walikuwa sahihi kwasababu mtoto anayekula kwa watu ukimuacha unamtengenezea tabia ya kutoridhika/tamaa

Kiukubwa ukubwa ni kama wanandoa kuchepuka
hilo km nakubari binafsi mm nilikuwa napenda sana ubwabwa
eeeh babaangu mkubwa kulikuwa jirani tu na kwetu km siku nikiwa nacheza nacheza huko nikasmelii ubwabwa na ninajua nyumbani kuna DONGO na KISAMVU
huwa sirudi mapema home nasubiri mpk mda wa kula kule jambo zuri ni kuwa kulikuwa na ndugu zangu hata mamamkubwa akawa anajua napenda ubwabwa siku kama home kuna ugari na wao wamepikwa ubwabwa na mharage na mimi sijaenda utumwa mtu kuja kuniita
kwakweli huyo mamamkubwa alikuwa najua hasa kuunga maharage
na mimi nilikuwa mgonjwa wa wali nazi halage nazi

hvyo kuna ukweli fulani kwenye comment yko ndio mana hata home ikijulikana nimekula kwa watu majilani ni kipigo tu
ili kukijenga na tabia ya kuridhika
 
Nmepita sehemu mtoto anachapwa kala kwa watu nimeumia sana, kwanza kamechafuka kana vibarango katakuwa hakaoshwi yaan hamna uangalizi nmewaza sana mzazi ana prevent nn? sielewi kama hamjali vle hivi vingine anatekeleza kweli ??
 
Nmepita sehemu mtoto anachapwa kala kwa watu nimeumia sana, kwanza kamechafuka kana vibarango katakuwa hakaoshwi yaan hamna uangalizi nmewaza sana mzazi ana prevent nn? sielewi kama hamjali vle hivi vingine anatekeleza kweli ??
Kwa hapo,mzazi anakosea.Kama hatimizi majukumu muhimu kwa mtoto(familia) ni kosa kubwa sana.Simlaumu mtoto.Labda, narudia,labda mtoto awe mtukutu na nyumbani kwao pako vizuri/wanajiweza halafu anatorokea kwa majirani.
 
Back
Top Bottom