Umeshagundua sababu za kuchapwa utotoni kula kwa watu?

Umeshagundua sababu za kuchapwa utotoni kula kwa watu?

Unafunzwa elimu ya self-reliance.Uache ukupe,uzembe,uzururaji na kujali/kupenda kazi.
Mtoto (3-6) anafanya mambo mengi kwa wakati mmoja ana kimbia kila mchezo anajitahid acheze na wenzie ,kwa chakula kile kile na ratiba ni kama ya watu wazima pia hana hela,akila sehemu ana ukupe?
 
Mtoto (3-6) anafanya mambo mengi kwa wakati mmoja ana kimbia kila mchezo anajitahid acheze na wenzie ,kwa chakula kile kile na ratiba ni kama ya watu wazima pia hana hela,akila sehemu ana ukupe?
Ukiwa na mawazo hayo,ujue unakuza mazwazwa.Kwa hiyo utaanza kumfundisha tabia njema huyo mtoto wako akifikisha miaka 18?
 
Kuhusu kuchepuka pagumu kusema neno lkn nadhari kabla hujaangalia kwa nini ni vzr kuangalia ulifanya nini?
 
Unaamini mzazi hapa ana matatizo kuingilia urafiki wa watoto?The icebreaker
 
Mazingira tuliyokulia sisi kulikuwa na inshu za kichawi na kuwekeana vitu vya ajabu katka chakula,hvyo wazaz ilibid kutuzuia ili tusije pata madhara
 
Mazingira tuliyokulia sisi kulikuwa na inshu za kichawi na kuwekeana vitu vya ajabu katka chakula,hvyo wazaz ilibid kutuzuia ili tusije pata madhara
ikiwa unakula wanachokula wao unadhulikaje?
 
Kiswazi huwa hivi mzazi hutoa adhabu kwa kificho pia hataki ulie , yawezekana lbd nin mbona hataki isikike ,
 
Kama hukuwahi kwa upande haikuonekana kosa au kulikuwa njia mbadala lbd kitu kama kufinywa hivi?
Nadhani mlezi wangu alikuwa halitilii maanani sana au nilikuwa fundi wa kufuta ushahidi
 
Back
Top Bottom