Counterbook
Senior Member
- Jun 14, 2020
- 159
- 71
Kwa asilimia fulani labda inategemeana ukaribu baina ya familia zenu.Walikuwa sahihi kwasababu mtoto anayekula kwa watu ukimuacha unamtengenezea tabia ya kutoridhika/tamaa
Kiukubwa ukubwa ni kama wanandoa kuchepuka
Ndio hii tamaa ambayo wazazi walitakiwa kuiondoa kwa watotoVp ukirudi home ukatengwa msosi then ukasema kuwa umeshashiba? Utaulizwa umekula wap?
Jst imagine unajua leo home linapikwa kabichi. Then unacheza kwa kina Joanah kunapikwa wali ndondo au nyama.😂
Kabichi halivumiliki kulwa🤣🤣Ndio hii tamaa ambayo wazazi walitakiwa kuiondoa kwa watoto
Unatakiwa kula chochote kinachopatikana nyumbani kwenu....mtoto akifanikiwa kulelewa kwa anachokipata na kuridhika basi hata ukubwani hatapata tabu
Muhimu sio sumu basi kabichi linavumilikaKabichi halivumiliki kulwa🤣🤣
Mlishe mtoto wako vizuri hatodoea msosi kwa watuKwema!mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vzr anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi kupata utotoni ; kama mzazi alikuwa sahihi kwa nini?,kama hakuwa sahihi kwa nini? huelewi bado unamuelewaje?
Nakazia : Tuwapikie watoto chakula cha kutosha
Ni kwl hatupati tunachotaka muda wote,mara moja moja umeonyesha nia unajali (walengwa) hata kuuliza watoto wako leo wanataka wale nini? Kwa kuzingatia vipo vyakula vina kinai kurudiwa rudiwa,Walikuwa sahihi kwasababu mtoto anayekula kwa watu ukimuacha unamtengenezea tabia ya kutoridhika/tamaa
Kiukubwa ukubwa ni kama wanandoa kuchepuka
Mtoto hajui kuendesha baiskeli mkuu,haendi mbali ,Kwa asilimia fulani labda inategemeana ukaribu baina ya familia zenu.
Unafunzwa elimu ya self-reliance.Uache ukupe,uzembe,uzururaji na kujali/kupenda kazi.Kwema!mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vzr anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi kupata utotoni ; kama mzazi alikuwa sahihi kwa nini?,kama hakuwa sahihi kwa nini? huelewi bado unamuelewaje?
Nakazia : Tuwapikie watoto chakula cha kutosha