Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hahahahaaaaaaaa pole mkuu hiyo ilikua adhabu aisee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimeongelea kwa Case ya mtu mwenye gubu.
Sijapokea simu nilikuwa nadeki lakini Yeye anafoka hanielewi.
Kulia ndiyo njia yangu ya kwanza ya kusuhisha ugomvi[emoji23][emoji23]
Hahahaaaaa ndo anataka uvae skin jeans kwenye mtokoNguo ambazo sio za vitenge nahisi hata 10 hazifiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nina vitenge,, yaani ndo mitoko hiyo hiyo,za kanisani hizohizo.. nyumbani Ni hizohizo na huwa hazipauki Maana ninazo nyingi[emoji23][emoji23]
Huwa nalia Kama unanktuhumu kosa si langu,na vile siwezi kuongea Basi najikuta nalia tu.ninavyooogopa machozi
ukiwa wa hivyo aseeee utanionea sana maana sitokaa
nijaribu kuku gusa maana one thing i hate ni kuona mpz wangu anadondosha machozi
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaaa ndo anataka uvae skin jeans kwenye mtoko
Kweli mkuu asingeweza, na vipi achilia mbali kua na 40 bila kuolewa, hana hata mtoto mpaka sasa??Kazi kweli kweli. Nilipofikiria watoto nikaona ataua watoto. Mtoto mchanga anajisaidia kitandani, anacheza na mchanga nk nk. Nikaona familia haiwezi kabisa... Wala sikumuaga. Nilipotea tu kama upepo.
Unadhani nitafanyaje [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Life is too short stay HumbleMmmmmh
Kweli mkuu asingeweza, na vipi achilia mbali kua na 40 bila kuolewa, hana hata mtoto mpaka sasa??
Kadiri muda unavyozidi kwenda najikuta nashindwa kabisa, zamani nilikua naweza yani navaa napuyanga bila shida ...Anne yani siku hizi siwezi kabisa kuvaa suruali nikadhani niko peke angu... Ila kuna nyakati Darling Father(hope umemuelewa) akikukolea kisawa sawa kuna vitu automatically unajikuta unaviacha tu mwenyewe.... Ndani navaa hata kaptula ila kwenye halaiki imenishinda kabisa yani kabisaaaYesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo labda aninunulie nivae nyumbani nikiwa naye.
Nilishasema Mimi kuvaa suruali siwezi [emoji1787][emoji1787]
Aisee hilo ni tatizoHana mtoto bado. Yuko mwenyewe tu. Siku hizi ameamua kukaa na wazazi wake ambao wamekuwa watu wazima sasa.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23].Kadiri muda unavyozidi kwenda najikuta nashindwa kabisa, zamani nilikua naweza yani navaa napuyanga bila shida ...Anne yani siku hizi siwezi kabisa kuvaa suruali nikadhani niko peke angu... Ila kuna nyakati Darling Father(hope umemuelewa) akikukolea kisawa sawa kuna vitu automatically unajikuta unaviacha tu mwenyewe.... Ndani navaa hata kaptula ila kwenye halaiki imenishinda kabisa yani kabisaaa
Aisee hilo ni tatizo
Kazi kweli kweli. Nilipofikiria watoto nikaona ataua watoto. Mtoto mchanga anajisaidia kitandani, anacheza na mchanga nk nk. Nikaona familia haiwezi kabisa... Wala sikumuaga. Nilipotea tu kama upepo.
Aisee kweli hakua kichwa, ungejikuta majuku ya familia yote unayabeba wewe, pole na hongera kwa kumpiga chiniNilimuachaga nilipoona mizinga ya bia na K.vant imekuwa mingi, imagine mwanaume eti anakupigia simu anakuomba elfu 30 akapashe koo yani weekend ikifika tu mapigo ya moyo yananienda kasi najua simu ikiingia tu ni ya mzinga, na kaz anayo mshahara wake hauonekani anafanyia nini hata boxer tu kununua zinamshinda hadi mm nimnunulie tena kwa hela yangu na nguo, sikuwahi kumuomba hata mia yake ila mimi ndo akanifanya mtaji wake wa kulewea bar, nilimchana live na nikamuacha maana niliona hakuna future hafai kuwa kichwa cha nyumba.
DuuuuhhhTena 40 na kitu yake inaelekea kwenye 50.
Hahahaha...karibu.Life is too short stay Humble
Shikamoo[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Anaomba hela ya pombe!?!![emoji849][emoji134]Nilimuachaga nilipoona mizinga ya bia na K.vant imekuwa mingi, imagine mwanaume eti anakupigia simu anakuomba elfu 30 akapashe koo yani weekend ikifika tu mapigo ya moyo yananienda kasi najua simu ikiingia tu ni ya mzinga, na kaz anayo mshahara wake hauonekani anafanyia nini hata boxer tu kununua zinamshinda hadi mm nimnunulie tena kwa hela yangu na nguo, sikuwahi kumuomba hata mia yake ila mimi ndo akanifanya mtaji wake wa kulewea bar, nilimchana live na nikamuacha maana niliona hakuna future hafai kuwa kichwa cha nyumba.