Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,728
Inabidi ukumbuke pia mlikutana wapi kwa Mara ya kwanza. Yawezekana mlivyoonana Mara ya kwanza basi Ile picha imekaa kichwani mwake, hivyo anavutiwa kukuona ukiwa hivyo siku zote.Kuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.
Wanachuo wenzangu....mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikua unakutana nao wapi hawa mabaharia?
Wanaume Mungu anawaonaYeah for sure nilimootezea muda kwa kiasi flani,ila niliona nisimpotezee zaidi nikamwambia ukweli,najua aliumia sana sana ila ilitusaidia wote wawili mana mimi pia kwa kiasi flani nilianza kukosa balance.
Hatari mkuu me mtu anae jamba jamba ovyo wanini sasa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye hewa ya ukaa! Dah kmamamae nimecheka kisenge. Jamaa anajamba kishoga tu hewa mbovu
Mtusamehe tu,ni makosa ya kibinadamuWanaume Mungu anawaona
Nilishaexperience hiyo kitu..Mtusamehe tu,ni makosa ya kibinadamu
Pole sana,bora hata uligundua mwenyewe maprma.Nilishaexperience hiyo kitu..
Ila mm niliwahi kugundua mapema,nikakimbia
🤣🤣🤣🤣🤣 si mnasemaga kujamba ni fahari ya mapenzi...eti mnaaminiana sana.Hatari mkuu me mtu anae jamba jamba ovyo wanini sasa....
Thats very stupid sababu mtu yupo radhi ku risk mahusiano yake eti kwa sababu kuna jamaa anamu entertain. yani demu anakomaa kabisa kuwa kwani hatakiwi kuwa na rafiki or? Hamna lolote between us then anaanza kuficha chats ama ku delete.Some girls are just entertainers by default, hata ubinuke vipi hawana shukrani I can concur that too...!!
Najua mzibua choo hana mshaharaAcha kuwaonea walinzi[emoji1787][emoji23][emoji23]
Aiseee.Kuna mmoja mungu tu alinisaidia ni mwanamke haridhiki nikajenga akaanza hii nyumba gani? Dodoma hapo Hii nayo nyumba, nataka gari mbn wewe una gari yako nikamwambia ya kazi hii siyo ya kutanulia tutumie wote, sina uwezo kwa sasa subiri. Yakawa si maneno na matusi wala hatujawahi kupata mtoto nae. Nikajitahidi nikanunua collora gari gani hii mini nataka ist. Wanaume wanaowapenda wake zao wanawa ulizaga wake zao machaguo yao. Mwanaime gari hujali hata hisia za mke ooo aaa
Alikuwa safi ukweli bodi lake murua, nyuma mashaala, puchi nayo swafii tukahamia Dar akaanza kusema mwanamke kama mimi natakiwa na wanaume wengi. Hunijali gari gani mwaka sasa tumepanga pesa unazo lkn unajali biashara zako. Siku moja kaja nyumbani kalewa sikujua hata amelewea wapi kanishushia matusi kibao.
Kesho yake nikamuomba apeleke pesa fulani kwao baada maneno na shutuma kibao alipo ondoka tu nikahama nyumba nikazima simu zangu na kubadilisha namba. Nikahamisha biashara nikahamia mbeya baada ya mwala mmoja tulikutana kapungua sana akataka kunizoea nikamwambia una nyumba una gari bodi la kubebea wanaume wazuri unalo puchi tamu unayo umekosa nini usinizoee.
Baada ya miaka minne nikasikia ukimwi ume mchukua ni ka mshukuru Mungu ni kajisemea kisicho ridhiki hakiliki
Mimi alinipigia nikapokea nina sauti zito anajua hilo ati akakata simu nikampigia akaniuliza me gani kapokea simu nikamjibu ina maana hujui sauti yangu? Akasema nikamsikiliza nikawaza hanijui huyu nikamuaga kwa heeeri akajibu ok. baadae, nikakata simu. Ukisikia neno Kwa heeri kutoka mdomoni kwangu sihitaji mjadala tenaUmenikumbusha mbali pia my dear, iliwahi nikuta mkaka anachamba kama muimba taarabu na ana wivu sio mchezo siku moja alipiga bahati mbaya nikawa mbali na simu aliongeaaa, alitukanaaa alichonikera ni kunitukania mama angu nilijibu jibu moja tu nikamwambia hapa hujanioa ukinioa si utanitukania ukoo mzima?? Nilinyala kimya kimya mpaka leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua mzibua choo hana mshahara
Mimi mwenyewe huwa sipendi.Pole sana,bora hata uligundua mwenyewe maprma.
Wengine wanakuwa hawana huruma,anajua kabisa hana future na wewe lakini hakuweki wazi,mimi binafsi sipendi kupoteza muda wa mtu, vivyo hivyo sipendi kupotezewa muda wangu.
Ndo maana kuna wanawake wanapewa kila kitu and still they miss out something na wanaendelea kuflirt na kucheat..!!Tatizo wamekaza na mpe hela tuu we mpe helaa tu, mpe tena hela wakidhani hela ndio kila kitu kwetu
"we need your time and attention"
Upo sahihi, na kuna baadhi ya wanaume wana tabia hiyo pia!! It's pathetic..!!Thats very stupid sababu mtu yupo radhi ku risk mahusiano yake eti kwa sababu kuna jamaa anamu entertain. yani demu anakomaa kabisa kuwa kwani hatakiwi kuwa na rafiki or? Hamna lolote between us then anaanza kuficha chats ama ku delete.
Basi shukuru sana Mungu,mana wanaume tuna shida sanaMimi mwenyewe huwa sipendi.
Huwa napenda kuwa open kwa mtu...Kama simtaki namwambia wazi.
Mimi huwa Ni mchunguzi Sana...yaani Kama mtu Ni mwongo Mimi namgundua mapema..
Huwa namshukuru Sana Mungu.Basi shukuru sana Mungu,mana wanaume tuna shida sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "ndogo" pole!!ubabe wa mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.
Mwingine aliomba ndogo na huo ndiyo ukawa mwisho wa mahusiano.
Ubinafsi wa yule mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.