Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Kabinti kamoja ka kitanga nlikaacha sababu sikuona future nae sabab ya kiiman.....na pia ile migegedo kipind kile nliona inanidisturb kiimani(nlikua nmeokoka vizury) ,though she was so innocent,beautiful na perfect in bed lakin alikosa sifa ya muhim ya mke Wang mtarajiwa ,usiku kabla ya kumuacha nlilia Sana sababu nlijua nkimtema ntamuumiza lakin nkiangalia mbele skuona kama nna future nae Bora kumuumiza mda ule.Nkaamua tuu kumchunia japo nliumia pia,baadae alielewa,tuliachana na familia Yao wakahamia madale.....imebaki story tuu bado nakukumbuka Doreen.
 
Umesahau maisha ya tamthilia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahha [emoji23][emoji119], kudaadeki walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nilidate na mwanamke elimu yake darasa la 7 la enzi ya kikwete.... Elimu yangu nna yake ni mbingu na ardhi. Basi mtoto anamawazo mgando sijawahi kuona. Nikaona nimchunie tuu sms, hata simu simpigii tena. Alikuwa anakuta room mara kwa mara. Ila sasa akija namsikilizia dirishan au mlangoni. Kwa akili yake huyu mtoto niliona naenda kuishi maisha ya kula kulala mixa bongo movie yaan siwez kutoboa kimaisha. Nashukuru tumeishia hapooo. Kurogwa nioe niona ndio back up yake.
 
Bro ukiona hadi leo hujaanzisha mahusiano ujue dawa ilaanza kukuingia na unaanza kumkumbuka sasa. Chezea kurogwa ww. Mm sikubali demu aje kwangu anifulie nguo sijui anipikie, aninyooshe nguo, alale siku nzima wakati ni demu wangu sio mke. Kazi za mikono nazujua tena zaid ya sana. Siwezi kubali demu awe mke kabla ndoa. Wanaume wengi tumepigwa ndumba kama sio juju kuwaachia mademu mwanya wa kuwa wake.
 
Aise wanawake muwe na sababu za msingi mnapoomba hela.

Kuna mmoja alioniomba hela eti akatoe mchango wa harusi wa lofa fulani kitaa hapa (alikuwa anaoa mara ya pili mke wake wa kwanza niliwahi mchapia[emoji3])

Nikamwambia Sina basi kanuna weee na demu mzuri kweli .

Nikasema hamna Tambaa bhana hunitishi lolote-sitaki demu[emoji1787]

Nikampotezea mazima

Ukija na sababu za msingi utakula Hadi senti yangu ya mwisho ila sababu za kijingajinga nakutema Kama big G

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yanaongeleka mkuu. Mngekaa chini mkaongea tu... Hata kama ni kuachana basi siyo kwa njia hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alale panapomshahili. Mwana kulitaka mwana kulipata. Mwanamke wa hivi namchukia hata kama simjui. Kupenda vitu vikubwa wakati mfuko unahudumia ni wangu. Alale motoni sio peponi huyooo.
 
Wivu ni asili yangu nina wivu to the extreme, Yaani Ukinambia 10 mins unakuja ukizidisha 1, Nitaongea hadi kesho , Nlikuwa napenda kuminitor @ and everything my lover is doin, , Akinambia naenda kwa sokoni nauliza how long will it take, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwanamke ananenipenda sana So she decide to change me now nimebadilika japo kuna mda nareact but Nasema samahani pale hali hiyo inapinikuta
Jealous nisign ya upendo , We want things of our own(Lovers) Yaai hatutaki kitu /mtu akuweke busy , Mda wako wote tumia na me, only

Lakini now nimefunguka akili nimejua ako na watu pia ambao anapaswa awajali, Ana vitu vya kufanya , Pia anahitaji mda pia wa kufanya mambo yake

 
you're very right, absolutely right..!!
Sasa kwa nini ulimwacha jamaa ?

Huwa napenda kumwambia my πŸ’— Ingekuwa inawezekana ningetafuta world 🌎 of our own , Only two of us Tuishi huku, Bahati mbaya na nzuri haiwezekani ,
BADO NINA WIVU ila najitahidi Kuuficha ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…